Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 706
- 1,147
Mwezi septemba maka jana Umoja wa wanafunzi wa jumuiya ya Afrika mashariki walikuwa na mkutano mkuu katika chuo cha Nelson Mandela Institute of Science and technology ambapo uchaguzi ulifanyika. viongozi waliochaguliwa waliwadhalilisha kweli viongozi waliokuwa wanamaliza muda wao kwa madai ya kutaka kufanya ubadhilifu. aidha ndugu wale walisachiwa mpaka kwenye nguo za ndani mbele ya kadamnasi tena bilakujali nani wa kiume na nani wa kike wala utu wao. Chakushangaza miongoni mwa hawa viongozi wapya waliochaguliwa Bwana Bonaventure Shimbe ambaye ni katibu wa mambo ya sheria haki za binadamu na mazingira, hapo jana wakati wa kuhitimisha kongamano la umoja huo alijitwalia mapato yote yaliyotokana na malipo ya ada za mkutano na kugawana na kijikundi chake cha madai kuwa kutoka Dar kwenda Arusha kuandaa mkutano tena kwa basi wao watu kumi walitumia pesa zao sh mil 7! cha kushangaza hawa vijana hawana kazi yeyote ile wanayoifanya sasa sijui hiyo milioni saba waliiokota wapi?
Hawa ndio vijana waaoimba nyimbo za kupinga ufisadi. Tafakari chukua hatua!
Hawa ndio vijana waaoimba nyimbo za kupinga ufisadi. Tafakari chukua hatua!