Waliowengi wanaweza kua na shaka na utendaji wa Paul Makonda kwenye wizara kama waziri ila trust me mpaka hakuna ambacho kimekosekana kwenye wizara ya NISHATI ila umeme wa uhakika umekua...
Natumai mu wazima wa Afya Huku tukizidi kupiga hatua mbele katika Bwana
Mimi ni Msikilizaji mzuri sana wa Mahubiri TV, Na sio Msabato pia siwezi kuwa Msabato Ila neno la Mungu halina dini...
Nimeamua kuuleta huu uzi kutokana na mada kadhaa nilizoziona humu JF zinazoongelea vituo vya watoto yatima kwa mtazamo hasi. Baadhi ya watu wametamani hata hivyo vituo visipewe misaada au vifutwe...
Afisa bima wa VodaBima kutoka Vodacom Tanzania PLC kanda ya Ziwa, Hellen Masali akimuwekea mafuta mteja wa kampuni hiyo Omari Ramadhan jijini Mwanza. Mafuta hayo yametolewa bure ikiwa ni moja ya...
Vijana wengi na watu wa mikoani, na pengine kwa kukosa Exposure hudhani Watu wanaoishi Dar wanafaidi sana pengine kwa Maisha mazuri, hali ya hewa nzuri na pesa za kukidhi kila mahitaji Yao...
Nimeona mahojiano ya kikeke na mbowe.
Mbowe anasema amemfanyia mambo mengi ya kiutu ili kuboost safari ya mafanikio ya Lissu.
Kana kwamba anasema lissu hapaswi kumfanyia hivi kwa maana yuko...
Jana nimemaliza safari yangu ya kikazi ya siku 4. Nilianzia Dubai nikakaa siku 1 kisha nikaelekea Abu Dhabi nikakaa siku 2. Nikamalizia Qatar siku 1. Na kila mara nikiwa kwenye ndege narudi bongo...
Kwa uchunguzi wangu mdogo nilioufanya nimegundua Wanachama wengi wa Ccm hawataki tundu Lissu ashinde nafasi ya uenyekiti Chadema.
Hapo kabla ya Ndugu Lissu kutangaza nia ya kugombea nafasi ya...
Mwandishi Constatine Mathias akamatwa na Polisi Simiyu
Mwandishi Constantine mathias wa uhuru media wa Mkoa wa Simiyu amekamatwa na jeshi la polisi jana usiku Juni 17.06.2024.
Baada ya...
Kufuatia kukamatwa kwa mwandishi wa Habari Dina Maningo, Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umesema mwandishi huyo bado hajapatiwa dhamana jambo ambalo wamedai kuwa kinyume...
TAMKO KULAANI KUKAMATWA KWA WAANDISHI WA HABARI KANDA YA ZIWA
Dar es Salaam, Tanzania - Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unalaani vikali vitendo vya kukamatwa kwa...
TAMKO KULAANI KUVAMIWA KWA MWANDISHI WA HABARI
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unalaani vikali kitendo cha kuvamiwa na kuzuiwa kufanya kazi za uandishi wa habari kinyume...
Mwandishi wa Milard Ayo wa Jijini Arusha Godfrey Thomas akiwa katika majukumu yake ya kawaida akiwarekodi wananchi walio funga barabara ya Arusha Dodoma.
Kwa madai ya kuchoshwa na vifo vya...
Mwandishi wa Habari Eugen Peter anatafutwa na Familia yake pamoja na Ofisi yake ya Ayo TV Dar es salaam baada ya kutoweka bila kujulikana alipo leo ikiwa ni siku ya tisa.
Mara ya mwisho Eugene...
Tarhe 12.14.22.24
Nina usaili utumishi, nyie ni miongoni mwa watu waliomo kwenye list ya wanaotakiwa kuniombea, nina zaidi ya mil13 zenu, na kwajinsi hali ilivyo ngumu kitaa hamtokaa mzipate...
Ndugu zangu wana JF, mimi huwa najiuliza ni vigezo gani vilitumika kuipa hadhi ya Manispaa hii Wilaya ya Tabora maana ni aibu kuona kuna manispaa ambayo ina vijiji havina shule za msingi kama hapa...
Nakumbuka nikiwa mdogo umri wa miaka 14 mwaka 2008 Machachari yake zitto ya kipindi kile,halima mdee (sauti ya zege) dokta slaa na Tundu lissu hao ndio walinifanya niijue CHADEMA.
So CHADEMA...
Nilikuwa nasafiri hivi karibuni nikitoka Shinyanga kwenda Igunga, nikiwa kwenye gari sikuamini macho yangu, kama kilometa mbili kabla ya kufika Stendi kuu ya mabasi Nzega, barabara imeliwa na vile...
Habari Wanajukwaa, wale wa Kariakoo poleni tunawaombea Mungu awe pamoja nanyi.
Back to my topic, mimi ni mmoja wa waajiriwa wapya, namshukuru Mungu Sana, ninaomba ushauri.
Mdogo wangu kamaliza...