Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hili Soko la China linalojengwa pale Ubungo Msilichukulie poa kabisa mchina atauwa Biashara nyingi sana kuanzia za hawa Niagize china hadi Hawa Silent ocean ambao wanasafirisha mizigo ya watz...
20 Reactions
74 Replies
6K Views
Habari wadau. Binafsi ni mkristo. Ila nimependa sana utaratibu uliowekwa kwenye makaburi ya waislamu Tabata segerea. Kanuni yao namba moja ambayo inakataza kujengea kaburi ni nzuri sana.
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Imeelezwa kuwa kundi la vijana kati ya umri wa miaka 15 mpaka 24 wanaongoza kwa kuchangia maambikizi mapya ya VVU – UKIMWI ambayo ni sawa na Asilimia 40 (40%). Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
NIKIENDA SOKONI NAMUUNGISHA MFANYABIASHARA MWANAUME NA KUMUACHA MFANYABIASHARA MWANAMKE KWA SABABU ZIFUATAZO: Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Íwe ni Mabibo SOKONI, iwe ni Kariakoo, íwe ni...
57 Reactions
149 Replies
40K Views
Hebu vuta picha, umetembelea mahali ambapo hujawahi kufika lakini unagundua kwamba kuna kitu cha ajabu, unatazama kushoto unamuona mtu mmoja lakini ukigeuka upande mwingine, unamuona mtu mwingine...
12 Reactions
20 Replies
6K Views
Nimeona Habari hii ITV, nikasema ngoja nishare na wanajukwaa. Inatoka uko Kijiji cha Nyangunge kilichopo katika Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu, wananchi wa Kijiji hicho wanasema wamekosa huduma...
0 Reactions
0 Replies
352 Views
ZIJUE NYAKATI VIZURI (1) Imeandaliwa na kuandikwa na Dr Dogoli kinyamkela 🗣️Kila kiumbe ambacho kinaishi katika dunia hii kina nyakati zake, majira yake ya kuwa hivi ama vile Kulingana na...
3 Reactions
10 Replies
773 Views
Nikiwa chini ya miaka 20 nilikuwa nawaza sana mambo makubwa makubwa umasikini na shida niliona kama vitu vya kupita. Nilikuwa najiuliza na kushangaa sana inakuwaje mtu anaishi mpaka anafika miaka...
13 Reactions
10 Replies
785 Views
Majuzi nilikuwa matembezini zanzibar, nilichokishuhudia ardhi yao si ya kutosha kwa kilimo kikubwa kile cha kimkakati, ambacho unaweza kuita kama kilimo haswa, Nikatafakari je haiwezekani...
0 Reactions
5 Replies
423 Views
Kwa nini wale wanaotenda kwa nia mbaya au bila kujali maadili huonekana kustawi? Kwa nini watu wanaodanganya, kupotosha, au kuvunja sheria huishia kupata mafanikio, utajiri, na mamlaka? Inakera...
17 Reactions
34 Replies
2K Views
Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Utalii limetoka ripoti yake ya mwaka 2023. Kwenye ripoti hiyo ,Tanznaia imetajwa kwenye Nchi 10 Zilizofanya Vizuri Kwa Kuvutia Watalii...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Mimi ni Mwananchi ambaye nimekuwa nikipata huduma katika Hospitali ya Wilaya ya Magharibi, Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja (Hospitali ya Ijitimai) kuna kero ambayo imekuwa ikinisumbua muda mrefu...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Anonymous (e941)
Wananchi wa maeneo ya Mwakaleli halmashauri ya Busokelo wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya kwa miaka mingi tumeahidiwa kujengewa barabara kwa kiwango cha lami lakini haitekelezwi. Ujenzi wa Barabara...
0 Reactions
4 Replies
452 Views
Mwana FA na AY waligombana baada ya FA kuajiriwa na kitengo idara pendwa ya jengo la mwewe. AY akamuona huyu tayari kashakula shavu ukudani kwa wakuda. Alamsiki.
10 Reactions
23 Replies
2K Views
Mwaka 2023 kuna fedha Tsh Bilioni 1 zilizotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan Mkoani Kagera iliamuliwa na Serikali ya Mkoa kuwa zinatakiwa kutumika kukarabati Stendi ya Mabasi ya Bukoba, lakini...
0 Reactions
5 Replies
852 Views
Sisi Wakulima wa Korosho tuliopo Mkunya Wilayani Newala Mkoani Mtwara tulipimishwa korosho tangu Oktoba na wengine Novemba 2024, hapo nikiwa namaanisha wale maafisa wa Serikali walikamilisha...
1 Reactions
8 Replies
834 Views
Kichwa cha uzi kiwe " MTEGO KWA MCHUNGAJI MAGEMBE UPO HAPA" Moderator Siku moja Rapper Jadakiss aliwahi kumchana 50 live kwenye kipindi cha radio kilicho ongozwa na mwanamama Angie Martinez...
7 Reactions
30 Replies
2K Views
Kwa wale wazee wa monde a.k.a maji a.k.a biere wanapafahamu sana mahala hapo. Taarifa ni kwamba baada ya kuipangisha bar hiyo kwa muda mrefu na hata kubadilishwa jina toka sugar ray kuwa kisuma...
1 Reactions
58 Replies
21K Views
Leo nimeamua niongee Na Hawa single mother s , kwanini mmeamua kuwatesa watoto wenu? Ni sawa umezaa Na jamaa huenda ilitokea kwa bahati mbaya ulikuwa humpendi au mlikuwa wapenzi kwa bahati mbaya...
6 Reactions
51 Replies
31K Views
Ukisoma katika biblia takatifu hasa kitabu cha mwanzo baada ya adamu kula tunda lile walilokatazwa kula Mungu aliwayafuta bustanini asiwaone. Kumbe kuna wakati mungu Ukijificha hakuoni. Basi...
4 Reactions
21 Replies
966 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…