Update: Foleni kubwa Barabara ya Mwai Kibaki

Update: Foleni kubwa Barabara ya Mwai Kibaki

Google Maps inasema njia nyeupe.
212.png
 
Nani alishauri kituo cha daladala Morocco upande wa pili wa mwendokasi kiendelee kuwepo barabarani ? Kile kituo kinasababisha foleni kwa asilimia si chini ya 20, kifutwe au kuwepo kituo rasmi gari ziweze kuingia na kutoka sio sasa hivi zinavyopark barabarani ?
 
Ila watu wa Old and New Bagamoyo road mnateseka sana! Imagine jana Jumapili jioni foleni imenasa hapo Tegeta hakuna kusogea 30 minutes. Kutoka hapo kibaoni hadi Wazo pale juu nimetumia 45 minutes!
 
Ila watu wa Old and New Bagamoyo road mnateseka sana! Imagine jana Jumapili jioni foleni imenasa hapo Tegeta hakuna kusogea 30 minutes. Kutoka hapo kibaoni hadi Wazo pale juu nimetumia 45 minutes!
Bajaji + Daladala zinachangia kwa 40% then Maroli 20% hafu ndio Barabara nyembamba inamaliza 20%, Mengineyo 20%
 
Back
Top Bottom