Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hakuna maji Ubungo riverside maeneo yote kuanzia daraja la Kijazi mkono wa kushoto .. no mambo ya AIBU sana Hakuna taarifa yoyote watu tunaishi kama tuko dunia ya miaka ya 40tatizo ninini.. Bili...
2 Reactions
11 Replies
742 Views
Wakuu, ikiwa leo ni Sikukuu ya Wapendanao "Valentines Day", unasherekea vipi au umepokea nini mpaka sasa? Kama huna ramani unaweza kusherekea siku ya leo kama ifuatavyo; Kubadilishana zawadi...
4 Reactions
13 Replies
986 Views
Kumekuwa na utiririshaji wa majitaka ovyo maeneo ya Ubungo Riverside kuanzia maeneo ya Msikitini mpaka Kituo cha Kaladala karibu na Riverside Bar kuna harufu kali inayosababishwa na maji taka...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Wanabodi Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za kwa maslahi ya taifa. Topic ya leo, ni kutoa wito kwa Serikali yetu kuingilia kati kitu kinachoendelea kwenye baadhi ya...
56 Reactions
267 Replies
16K Views
Huku kwetu maeneo ya Kibaha hasa Kibaha Kwa Mfipa kuna matukio ambayo ni hatari sana kwa usalama, kwani kuna vibaka wanatusumbua na wanafanya matukio yao majira ya Saa 11 alfajiri wakiwalenga wale...
3 Reactions
5 Replies
992 Views
Kuna taarifa nimeona kuwa Kuna askari polisi wamepewa zawadi Nono ya kitita Cha pesa , kwasababu wamekataa kupokea rushwa kutoka Kwa madereva if I'm not mistaken.. Sasa sijajua logic ipo Kwa Hawa...
0 Reactions
2 Replies
325 Views
Hii hospitali kama serikali na uongozi hautachukua hatua za haraka watanzania wengi wataendelea kufa kwa uzembe wa madaktari wanafunzi ambao hawasimamiwi ipasavyo na wakuu wao kazi. Nimeshuhudia...
24 Reactions
71 Replies
14K Views
Ndani ya Manispaa ya Songea, Mkoa wa Ruvuma, inapatikana Shule ya Msingi Mshangano. Shule hiyo ina vyumba 6 vya madarasa na wanafunzi zaidi ya 900. Pamoja na kuwa imeanzishwa miaka michache...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Jamani hivi suala la kujengea wanafunzi vyoo ni jukumu la nani? maana Kuna shule moja wilaya ya Missenyi mkoani Kagerainaitwa Mugana A kwakweli hali ya vyoo sio salama kwa watoto wale kwani...
2 Reactions
1 Replies
333 Views
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imeagizwa kushirikiana kwa karibu na Idara ya Uhamiaji na Idara ya Wakimbizi ili kubaini waomba vitambulisho vya taifa wanaoikidhi vigezo vya kupatiwa...
1 Reactions
6 Replies
669 Views
Alfajiri ya Leo kwenye saa 11:30 hivi natoka nyumbani naenda kwenye mihangaiko yangu! Nilikuwa upande wa magari yanayorudi toka mjini! Upande wa magari yanayoenda mjini kulikuwa na msururu wa...
5 Reactions
26 Replies
1K Views
Kulipa Kodi ni wajibu wa kila mwananchi. Tulipe Kodi kwa maendeleo ya nchi yetu. Mkurugenzi wa MAT superbrand hulipa Kodi na tozo mbalimbali za thamani ya bilioni hadi Saba kwa mwaka. Je, wewe...
2 Reactions
4 Replies
697 Views
Leo Usiku nilipata Dharura ya Kuuguliwa na Mke wangu majira ya saa 6 usiku ikabidi nimkimbize hospitali ya Nunge kisha hapo Tukapewa Rufaa kuelekea Hospitali Ya Mkoa wa Morogoro Baada ya Kuwepo...
1 Reactions
9 Replies
758 Views
Ndugu zangu Watanzania, Mimi ni mtumiaji na mteja wa miaka mingi wa mtandao wa voda ,lakini Haijawahi kutokea na sijawahi kushuhudia hali hii katika simu yangu ya ulaji wa mb utafikiri kuna jini...
19 Reactions
197 Replies
5K Views
HOSPITALI mpya ya Rufani mkoani Shinyanga iliyopo Mwawaza Manispaa ya Shinyanga haina jengo la kuhifadhia Maiti, pamoja na kukabiliwa na upungufu mkubwa wa madaktari bingwa. Mganga Mkuu wa Mkoa...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Siku ya wapendanao sio siku ya impress demu wako. Kupenda ni KUTOA upendo na KUPOKEA upendo. Don't make execuse kwa mwanamke ambaye anataka kupokea tu. Mtupilie mbali. Yani kuna mtu leo...
18 Reactions
61 Replies
2K Views
Wauza maua wa NAMANGA-KINONDONI wananunua maua meupe -reject na yaliyobaki kwenye maharusi , wanapulizia rangi nyeupe na kuyauza kwa wanunuzi , Tshs 30,000 kwa bando moja ambapo maua original...
2 Reactions
3 Replies
473 Views
Niende Moja Kwa Moja kwenye mada, enyi waislamu kwanini hamtambui uwepo wa mtoto wa nje ya ndoa wakati wa mirathi? Eti mtoto wa nje ya ndoa hana haki ya kirithi mali za baba ake mzazi hivi sheria...
8 Reactions
158 Replies
10K Views
Cancer inapojitokeza mguuni ujue ilishasambaa sehemu kubwa ya huo mguu .. Mtu anapoumwa malaria huo ni mchakato wa zaidi ya wiki tangu siku alipoumwa na umbu mwenye vimelea! Sakata la bandari...
43 Reactions
173 Replies
15K Views
Habari za jioni wakuu, naomba kuuliza, DP world amepewa aendeshe Bandari ya Dar Pekee au zimo na za mikoani pamoja na Tanga na Mtwara? Pia kampuni ya MRC pale bandarini inajihusisha na Nini?
4 Reactions
13 Replies
718 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…