Jeshi la Polisi nchini linaendelea kuchukua tahadhari katika kuzuia uhalifu unaovuka mipaka ukiwemo uhalifu wa mitandao na ugaidi ambapo kupitia ushirikiano wa Tanzania na India wamekubaliana...
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Godfrey Chongolo amewataka vijana wa bodaboda kujiepusha kutumiwa katika uhalifu wa mpakani hususan uvushaji wa bidhaa za magendo.
Akizungumza na kikundi cha...
Wadau hamjamboni nyote?
Kama wewe hauna imani na mwanakondoo wa Mungu basi tambua kuwa pepo haikuhusu
Tafakuri ya kina kwa wenye hekima za kipekee
Muwe na siku njema
Ufunuo wa Yohana 21:27 7...
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mhe. Zainab Katimba, amewataka wakuu wa Idara na Vitengo vya Sheria katika Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kuhakikisha wanazingatia weledi...
Kesi inayomkabili Dkt. Abdi Warsame, anayeshutumiwa kwa kujipatia mamilioni ya shilingi kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa kampuni ya bima ya afya AAR (sasa Assemble), imesikilizwa kwa siri katika...
Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama mkoani Singida imekabidhi mikopo ya Sh. milioni 395 kwa vikundi vya wanawake,vijana na watu wenye ulemavu.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo,Asia...
Anaandika Ali Kibao, mtoto wa kwanza wa mzee Ali Mohamed Kibao.
________
Baba yetu hakutaka makuu wala umaarufu. Ali-dedicate sehemu kubwa ya maisha yake kwa wanawe na wajukuu zake. Hayo kwake...
Watoto wake Wapo wawili mmoja la 5 mwingine la 3. Wote wa kiume. Kaambiwa siku hizi watoto wa kiume Wana haribiwa shule za boarding hazifai bado wadogo hao hasikii. Watu wengine matatizo huwa wana...
Hii kampeni yenu mngetaka ifanikiwe mgefanya mnavyojua bei ya gesi ishuke, Kwa mtungi mdogo iwe 15000 kama kipindi cha MUHESHIMIWA, RAIS, DAKTARI JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI, yeye aliwezaje...
Wakuu,
Mwanzo wakati mimi ninakua,kuvuta bangi ilikuwa inafanyika kwa siri mno, mpaka uje uambiwe kuwa huyu ni mvuta bangi ni ngumu mno,na ilikuwa inatumiwa na watu wazima wenye nguvu na...
Mwanasheria Fatma Karume ameelezea kwa kirefu kisa kimoja cha utapeli wa nyumbani ya mirathi na kesi iliyofuatia mahakamani iliyodumu kwa muda wa miaka 20!
Kwa mfumo huu wa mahakama kuendesha...
Nimefanikiwa kuupitia muongozo wa mtaala mpya wa elimu hapa Tanzania ambao umezinduliwa hivi karibuni, na hichi ndicho nilichoweza kukiona kwa jicho la upeo.
1. Kwa mfumo wa elimu yetu kwa shule...
Hahahahaaaa, wakuu last weekend wife alikuwa amealikwa kwenye harusi ya mdogo wa workmate wa ofisi yao ya zamani, lakini akawa anasitasita kwenda, sasa nikamuuliza kwanini, yeye akasema hana...
Kwani wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini, tupeane madini please.
Huku wengine tunawahi kuamka kwenda makazini, vibaruani, madukani, maofisini, n.k. kuna wenzetu wenye frem Sinza...
Kijana wangu kafikisha miaka 18 na smartphone juu.
Naomba orodha ya mitandao ya kujenga ambayo isipite siku mwenye maono hajapita.
Binafs huwa nikipekua JF huwa najiaminisha nimejua yanayojiri...
Huu ni uchunguzi wangu binafsi.
Ni kabila kubwa kabisa kusini yote na hata maneno ya kimakonde utayakuta kwenye lugha zao bila wenyewe kujua kuwa ni maneno ya kimakonde. Mfano, kule Kilwa yule...
Mwanaume anayejulikana kwa jina Peter Mayala (45) mkazi wa Kijiji cha Mwamagunguli, Manispaa ya Shinyanga, amejiua kwa kujinyonga ndani ya chumba chake cha kulala baada ya kujaribu kumuua mtoto...
FURSA KUBWA KWA WAJASIRIAMALI NA WAFANYABIASHARA!
Benki ya NMB imetenga Shilingi Bilioni 100 kwa ajili ya Mikopo ya Miradi na Biashara za kusambaza Nishati Safi ya Kupikia kwa Watanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.