Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

3 days shared group budget safari in Tanzania | 3 Days / 2 Nights | Shared Group Safari | Budget Safari Join our 3 Days Tanzania Shared Group Budget Safari and explore Tarangire, Ngorongoro...
1 Reactions
0 Replies
197 Views
Kwa mujibu wa sheria, TARURA ina mamlaka ya kutoza ushuru wa maegesho katika maeneo maalum ambayo yametengwa na kuandaliwa kwa ajili hiyo. Hata hivyo, kinachoendelea katika baadhi ya maeneo ya...
0 Reactions
0 Replies
78 Views
Anonymous
Wakuu, habari za muda huu. Ni lini Jeshi la Polisi na mamlaka nyingine zinazohusika zitachukua hatua kuhusu hali ya malori yanayosafirisha mizigo kutoka bandarini kwenda bandari kavu, maarufu...
0 Reactions
0 Replies
80 Views
Habari za wakati huu, kuna mtu ninamtafuta, anaitwa John, ni mwenyeji wa Singida, mwaka 2006 alikuwa anafanya kazi ya upishi ktk moja ya migahawa/hoteli iliyoko Manzese-Tip Top. Huyu mtu...
5 Reactions
33 Replies
497 Views
Wasalam wakuu. Haya ni Maoni yangu Kwa Mh Dr Gwajima Mh Dr Gwajima Kuna mahala unafeli sana linapkuja swala la manaume kuchukua maamzi magumu. Ninachoamini Mimi ..kitendo Cha mwanaume kumuoa...
17 Reactions
123 Replies
1K Views
Anonymous
Waumini na Wanachama wa kwaya katika Parokia ya Bikira Maria Mama wa Mwokozi, iliyopo Sinza Jijini Dar es Salaam tuna hoja ambayo baada ya kuwa chinichini tumeona bora ifike hadharani, Dunia ijue...
2 Reactions
24 Replies
358 Views
Member mwamba and 998 others alipo anajuta kwa nini aliposti hule uzi wake wa kuzamia SGR business class kwa nauli ya Morogoro kwenda Dodoma. Kwa mshangao hakuamini members walivyomshukia kama...
5 Reactions
1 Replies
230 Views
Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza katika Shule ya Kizimbani aitwaye Raiyan Hemed Amour, amepatikana akiwa amefariki Oktoba 4, 2026, baada ya kuanza kutafutwa tangu Ijumaa, huku akiwa amekatwa mkono...
3 Reactions
43 Replies
720 Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo, Jumatatu Oktoba 5, 2026, ni mgeni rasmi katika harambee ya kuchangia maendeleo ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini...
0 Reactions
3 Replies
144 Views
nimekuta post ya inayopinga chuki kwa wakristo, katika kupitia comment nimekutana na hii shuhuda Nakumbuka utotoni kule kijijini jirani yetu mkristo zikifika sikukuu zao wanatuletea wali na nyama...
0 Reactions
9 Replies
161 Views
Wakuu kwema? Kama wewe ni mtumiaji wa mitandao hapa nchini, basi huna budi kutenga dakika 5 kusikiliza au kusoma uchambuzi wa hotuba ya hivi karibuni ya Pavel Durov (Mwanzilishi na CEO wa...
2 Reactions
5 Replies
252 Views
  • Closed
Kuna jambo nimekuwa nikijiuliza kutokana na uzoefu wangu wa kwenda sehemu mbalimbali za ibada. Nimewahi kwenda kwenye kanisa la kawaida kabisa la Katoliki, nikashangaa kuona sadaka/changizo...
5 Reactions
42 Replies
304 Views
Kifo — sote tutakufa. Kufilisika — unaweza kuanza tena na kujenga kila kitu upya. Aibu — watu watazungumza leo, kesho watahamia kwenye maisha yao. Kukataliwa — hakuna binadamu anayekubalika na...
2 Reactions
3 Replies
85 Views
Death: we're all gonna die. Bankruptcy: you can make it all back. Shame: everyone will forget in a week. Rejection: it happens to everyone. Failure: it's part of the path. Judgment: they judge...
4 Reactions
3 Replies
199 Views
Anonymous
Wananchi wanaofika kupatiwa huduma za matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini iliyopo Mitengo katika Manispaa ya Mtwara mkoani Mtwara kuna changamoto ya Walinzi kuwa wasumbufu kwa...
0 Reactions
0 Replies
55 Views
Hapo jana, kiongozi wa PLC, Rashad al-Alimi ametangaza operation ya kuwakabili wapiganaji wa Houthis ndani ya Yemeni. Hivi karibuni Houthis walifanikiwa kuteka sehemu ya mfereji wa Bab al-Mandeb...
0 Reactions
0 Replies
67 Views
WanaJamvi muhali gani...! Kumekuwa na matukio mbalimbali ya kuhusu mgongano wa jinsi baina ya ME na KE na changamoto kubwa baina yao ni KE kutaka kuonekana. Mwaka 1998 kulifanyika mkutano mkubwa...
0 Reactions
1 Replies
68 Views
Kwenye kitabu cha Mungu (Biblia) ukisoma Mathayo 11:28-30 imeeleza namna Mwenyezi Mungu alivyoelekeza wote wenye makandokando na mizigo waje kwake ili awapumzushe, kwa maana ya kuwaokoa Sasa...
2 Reactions
18 Replies
229 Views
Kama ni kweli je, huenda kifo chake kinahusiana na waliompa tenda ili kufuta ushahidi wa moja kwamoja? Vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi ya Tanzania vina mengi ya kujitafakari. Kosa...
21 Reactions
64 Replies
1K Views
Chivayo itakuwa alikuwa ni fixer (kishoka) na dalali wa watawala, matajiri na watu wakubwa maarufu Africa. Ipo siku deals alizokuwa anafanya na watawala zitakuja kufumuka na kuwa wazi hadharani...
10 Reactions
16 Replies
390 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…