CHADEMA inamshutumu Amosi Makala ikidainalieleza Uma kuwa CHADEMA ina mpango wa kununua Virusi vya kuangamiza Wanachama wa CCM.
==========
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeagiza...
Kuvuta bahati na pesa ni ndoto ya watu wengi, lakini hakuna njia ya haraka au ya hakika ya kufanikisha hilo. Hata hivyo, kuna mbinu na mazoea ambayo yanaweza kukuweka katika nafasi nzuri ya...
Kuna jamaa,yuko kwenye mahusiano na binti mmoja wamezaa na mtoto wanaishi pa1.
Mwanamke wake waliyezaa nae ana mtoto mwingne tayar alizaa kitambo huko kabla hajakutana na mwana ,hata baba...
Hawa mafundi waliosomea au waliopata ujuzi site na baadaye wakaamua kujiajiri wanaishi kwenye uhuru wa kifedha kuliko watumishi wengi wa umma.
Ukiondoa watumishi wa umma wezi kundi lingine lote...
Tutakumbuka Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam lilieleza kwamba kuanzia Februari 18 hadi 22,2025 liliwakamata watuhumiwa 26 kwa tuhuma za kujihusisha na biashara haramu ya upatu...
Nimeshangazwa na kusikitika na kinachoendelea nchini kuhusu hali ya hewa.ni kipnd cha mvua sahivi cha kusikitisha karibia maeneo yote nchini hayana mvua,mazao yamekauka mashambani TMA MKO KIMYA...
Wakuu nawasalimu Kwa upendo wa dhati kutoka kwangu.
Amani na huruma za Mola ziwe kwenu nyote
Kuna hii kitu inaitwa hijaama ama kupiga chuku ama kutoa damu chafu mwilini. ni kitu inafanywa sana...
Je, ni kweli kwamba pesa zitolewazo na bank ya dunia ili kugharamia miradi ya maji vijijini kupitia ruwasa (p4r) imekwama kutokana na serikali kutumia fedha hizo kwenye mambo mengine nje ya miradi...
The Zanzibari-British Nobel laureate (Literature, 2021) Abdulrazak Gurnah, released his first book after receiving the Nobel Prize.
Titled simply "Theft", the book is out since March 18 2025.
I...
Habari kutoka Busega Halmashauri ya Busega ya Mkoani Simiyu, imeelezwa kuwa, viongozi na Watumishi wa Serikali wapo kwenye orodha ya kuhujumu uchumi kufuatia kutoa tenda na kufanya minada pasipo...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Athumani Francis Msabila amekamatwa na Jeshi la Polisi wilayani humo na kuwekwa mahabusu katika Kituo Kikuu cha Polisi wilayni humo...
Mikoa ya Tanzania kwa Ukubwa wa Eneo
Mikoa Mikubwa kwa Eneo:
1️⃣ Tabora – 76,151 km²
2️⃣ Rukwa – 75,240 km²
3️⃣ Morogoro – 73,139 km²
4️⃣ Lindi – 67,000 km²
5️⃣ Ruvuma – 66,477 km²
Mikoa ya...
Baadhi ya walimu wa shule ya msingi waliohamishwa katika shule mbali mbali katika wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro wamesikitishwa na kauli iliyotolewa na Afisa elimu wa wilaya hiyo kuwa hata...
Miaka kadhaa nyuma Kuna stori niliisikia Kuna mtu alikuwa akiingia makanisani kwa lengo la kuiba hasa pale watu wanapokuwa wamefumba macho au mfano mtu ameenda madhabahuni kuombewa na kuacha vitu...
Kuna mambo unaweza kuonekana una wivu na watu ila wenye wivu na nyie ni ccm kwa nini bado mnataka kujua kwa nini wana wafanya wajinga.
Swala la usafiri sio jambo la kujitafuta wala kupiga step...
Wakuu Habari Mimi Bhnaaa Ni Kijana Nipo Tu Kwenye Harakati Za Maisha Sasa Hivi Karibuni Nakuwa Nawaza Sana Maisha Yangu Ya Nyuma, Yaaani Udogoni, Sometimes Hata Nilivyokuwa Napitua Baadhi Ya...
Kwenye "kusaka tonge" Nimejikuta mara kadhaa nadondokea kwenye nchi jirani ila hii nchi ya BURUNDI inanifanya kila siku nizidi kuthamini na kuipenda TZ..Burundi ni nchi ambayo imepitiwa na Bonde...
Habari GT,
Nianze kwa kusema kuwa mimi sio muandishi mzuri ila nitajitahidi kuweka vitu katika mpangilio kwa kiasi chake.
Kabla ya kuangalia baadhi ya fursa za biashara zilizoko Comores na...