Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari zenu wadau wa Jamiiforums! Ningependa kujadili jambo ambalo limekuwa likiibua maswali mengi miongoni mwetu. Tumeshuhudia matukio ambapo mtu anakutana na shida kubwa za kiafya baada ya mambo...
0 Reactions
2 Replies
367 Views
Nimekaa nikawaza hapa , hizi kombora za nyuklia wanazomiliki mataifa makubwa ,wakazitumia kuulipua mwezi Je mapande yake yataangukia huku duniani ? Au ikatokea umelipuka wote , mabaki yatabaki...
7 Reactions
62 Replies
2K Views
Umemaliza zako chuo, pengine ni injinia. Unatafuta kazi mwishowe unaajiliwa halmashauri fulani ambayo kwa muundo wa utawala wapo chini ya Tamisemi. Mwenzako uliyemaliza nae anapata zake kazi...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Kijana aliyefahamika kwa jina la Mussa Ally mkazi wa Sahare, Jijini Tanga amemtuhumu Bondia wa Ngumi nchini, Hassan Mwakinyo Kumshambulia kwa kisu, na kumfungulia mbwa wanne Majira ya saa 12...
7 Reactions
103 Replies
4K Views
Jaman mtandaoni kuna vitu vingi sana lakini vingine vinanichanganya nimepita mtandaon nikakutana na kitu kinaitwa JINSI YA KUJIFUNZA UCHAWI Et wanasema uchawi ni sayansi tena et unaweza kujifunza...
1 Reactions
1 Replies
382 Views
Anonymous
Mimi ni mwajiriwa wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni wananikata TALGWU tokea nimeajiriwa bila kushirikishwa na bila kuandika jina la kujiunga na bila kutia sahihi yangu sehemu yoyote...
0 Reactions
6 Replies
463 Views
hivi kwenye haya maisha yetu ya kila siku tumewai kujiuliza baadhi ya njia za maisha ya akhera, basi nimepitia nukuu moja inasema "uwe hodari na jasiri usiogope,usife moyo,kwa maana mwenyezi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau wa JamiiForums, habari! Kuna mambo fulani ukiyatafakari sana kuhusu sisi Watanzania, unajikuta unashangaa na kustaajabu! Ni kana kwamba kuna mfumo maalum unaotusukuma kurudia makosa yale...
11 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu Tumemsikia Msemaji wa Serikali Ndugu Greyson Msigwa akitoa Uchambuzi Juu ya Serikali kudhamiria Kununua Umeme Kutoka Ethiopia kupitia Kenya. Msemaji huyo amedai ununuzi huo wa Umeme utaenda...
2 Reactions
13 Replies
830 Views
Naungama na wengine wote waliopaza sauti zao kuhusu hili. Mamlaka tunaomba mtuonee huruma sasa, hizi meseji zinatosha sasa kwani zinajaza inbox za simu zetu. Kama ni elimu naamini tushaipata ya...
3 Reactions
3 Replies
358 Views
Utangulizi Tamthilia ni sanaa ya maigizo ambayo huweza kuwasilishwa jukwaani, redioni, au hata kwenye televisheni. Hapa Tanzania, tamthilia zimekuwa sehemu muhimu ya burudani, elimu, na mafunzo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salaam, shalom!! MADA hii ni fundisho Kwa wale wasioamini kwamba mtu afapo, mwili wake hupelekwa either Kuzimu au Mbinguni. Na mwili unaopelekwa kuzimu ni mwili upi? Ni huu wa Damu na nyama...
17 Reactions
66 Replies
3K Views
Habari, Maisha ya bara letu ni changamoto sana. Kitendo cha kuzaliwa hai na una pumua ni mzigo tosha, inafika kipindi unajiuliza nilizaliwa kuja kubeba majukumu yote haya? Kusoma kwa kuungaunga...
8 Reactions
40 Replies
1K Views
Ameandika prof. Anna tibaijuka katika ukurasa wake wa X: UMEME KUTOKA ETHIOPIA (km 1500) HADI ARUSHA UNAKUWAJE RAHISI KULIKO WA KUTOKA RUFIJI (Km 650)? Taarifa hii ilitushangaza na hata...
5 Reactions
50 Replies
2K Views
Enzi za Musa na manabii wengine na hata wafalme walikuwa wakikosea Mungu anawaadhibu palepale na kisha Nabii anaambiw na Mungu kuwa watu hawa wamefanya machukizo kadhaa wa kadhaa. Bali na yote...
1 Reactions
10 Replies
499 Views
Ndugu zangu, Nawasalimu. Kwanza nianze moja kwa moja kwa kuorodhesha baadhi ya sifa za mtu asiye na hadhi ya kuwa kiongozi. 1. Hulazimisha Kukubalika na kila mtu. 2. Hana maono . Tatizo kubwa...
23 Reactions
63 Replies
3K Views
Video ya inayosambaa mitandaoni ya mwalimu wa madrasa huko Mbagala akiwapiga fimbo watoto wadogo ni mbaya sana. Hata hivyo ukisikiliza wanaochukua hiyo video wanasema siku nyingine huwa anawapiga...
6 Reactions
44 Replies
1K Views
Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA YESU KRISTO Hii tukio limetokea mwanza na kuthibitishwa na kamanda mtafungwa Binti anasoma kidato cha tano huko mkoan Tanga Apumzike kwa aman sana Kijana...
9 Reactions
50 Replies
3K Views
Back
Top Bottom