Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Septemba 10,2024 Mahakama Kuu ilitoa uamuzi wa kuwarudisha kazini Askari watatu kama taarifa ilivyojieleza kwenye mtandao wa Mahakama ujulikanao kama TanzLii (Home - TanzLII) ambapo majina ya...
0 Reactions
0 Replies
267 Views
Kutoana na kutoka ukoloni mpaka kuwa watawala kuna utofauti kati ya idara za usalama na ulinzi kabla na baada ya uhuru, hasa katika muktadha wa Afrika na mataifa mengine yaliyojitawala kutoka kwa...
2 Reactions
7 Replies
697 Views
Wavulana wana balehe miaka 14 na kuendelea japo mikoa ya Pwani hasa Tanga, Dar es salaam, Pwani, Mtwara na Lindi wananza ngono kabla ya baalehe tofauti na mikoa yenye maadili na mafunzo ya...
2 Reactions
3 Replies
485 Views
Kama hutaki njoo Niue nipo tandale huku naishi chumba Cha Giza Cha Kodi ya TSH 25,000/= ( simu zangu naachaga Kwa mangi kipindi Cha mvua maana mafuriko yakitokea huenda yakaondoka na simu zangu...
28 Reactions
40 Replies
4K Views
Wakuu, Kuna hii video inasambaa kwenye mitandao ya kijamii, huyo jamaa anasema wako katika hospitali maeneo ya kipawa majani ya chai. Ambako yeye na wengine wanaumwa ugonjwa kama huo wametengwa...
6 Reactions
67 Replies
4K Views
Kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa homa ya nyani nchini (mpox), Daktari Godfrey Mtunzi Kutoka Manispaa ya Iringa Amesema Makundi ya Watu waliopo hatarini kupata Ugonjwa wa Mpox Ni Madada Poa Wazee...
0 Reactions
0 Replies
355 Views
Habari zenu Wana JF, Nimeishi hapa Dodoma, ingawa sio mzaliwa wa hapa nilikuwa kikazi toka mwaka 1998 hadi Sasa. Nimekuwa nikilinganisha maisha ya mikoa mwingine kama vile Mbeya, Kilimanjaro nk...
5 Reactions
98 Replies
3K Views
Anonymous
Baada ya malalamiko juu ya stand ya mabus na daladala ya nane nane mbeya sasa mamlaka zimeanza utekelezaji wa changamoto ya ubovu wa miundombinu ya stand. Wito wangu kwa mammalaka husiku...
0 Reactions
0 Replies
155 Views
Katika miaka ya nyuma, blogu zilikuwa moja ya vyanzo vikubwa vya habari na burudani nchini Tanzania. Zilitoa majukwaa huru kwa waandishi, wachambuzi, na watu binafsi kueleza mawazo yao, kushiriki...
0 Reactions
1 Replies
284 Views
Hivi, serikali inayowajali watu inaowaongoza na kuwasimamia, kweli inakosa mbinu za kuhakikisha bidhaa muhimu kama mafuta ya kupikia inashuka bei ili kupunguza gharama za maisha? Sababu kuu ya...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Nimecheka sana kwa jinsi huyu Polisi alivyokuwa akisema kwani kasema Ukweli mtupu huku akitoa na Mifano ya Kiutani. Nimeiona katika Mtandao wa Thread wa Mtu anayejiita Balozi wa Watu.
1 Reactions
3 Replies
456 Views
Umewahi kujiuliza kwanini wachawi huwa wanachota mchanga mahali zilipokanyaga nyayo za mtu? Ndugu mpendwa , miguu yako ina maana kubwa Sana na umuhimu wa kipekee katika ulimwengu wa roho . Na hii...
8 Reactions
32 Replies
7K Views
Sipo Hapa Kubeza,Kukashifu au Kutweza Dini Au Imani ya Mtu yeyote", Hivyo Tafadhari Wazee wa kuita Wengine Wapinga kristo Au Makafiri Mpite Mbali Huu Uzi Hauwahusu". Sina Shaka Na Uwepo Mungu Kwa...
1 Reactions
4 Replies
366 Views
Mkuu wa wilaya ya Geita Hashimu Komba akiwa ziarani katika Jimbo la Busanda Wilayani Geita Mkoani humo, amejikuta akishindwa kufikia miradi kwa wakati baada ya Msafara wake kukwama njiani kutokana...
1 Reactions
0 Replies
281 Views
Jeshi la Polisi Mkoa watu Arusha limesema kuwa tarehe 13, machi,2025 muda wa saa 12:30 asubuhi huko katika maeneo ya mtaa wa njiro ndogo kata ya sokoni one katika halimashauri ya jiji la Arusha...
2 Reactions
5 Replies
674 Views
Namna gani asee, hela haikai, mshahara haukai hata masaa 72. Huu mwezi ni kama sijalipwa chochote kile. Mnatoboa wadau?
12 Reactions
36 Replies
1K Views
Tuwafurahishe wagonjwa kama watoto hawa wakimfurahisha baba yao mkubwa Proffessor Sarungi alipokuwa anaumwa Waangalie kwenye video
1 Reactions
1 Replies
447 Views
Watu wengi wamekuwa na marafiki wanaowaeleza Siri mbalimbali. Siri hizo huweza kuwa za kimahusiano, kikazi na Mambo kama hayo. Je uliwahi mueleza mtu Siri yako na ukaikuta kwa mtu mwingine kama...
11 Reactions
68 Replies
2K Views
Arusha imepeleka hofu kubwa sana huko Kwa Nyang'au https://x.com/TanzaniaInvest/status/1899698791881560153?t=aAHHBVNpux-VQpf0p82tVw&s=19 My Take Vita ya Kenya vs Tanzania inazidi kushika Kasi...
2 Reactions
10 Replies
628 Views
Namaanisha speakers za mdundo mzuri na radio selector yake zinaweza kunigharimu bei gani wakuu. Ambavyo ukifungulia muziki watu wa kitaa wanaweza kuenjoy muziki mzuri
0 Reactions
3 Replies
325 Views
Back
Top Bottom