Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,355
- 2,767
HATARI ZA SIRI ZILIZOPO KWENYE MAHOTEL NA LODGE !!!
Najua watu wengi tunapenda kwenda kulala kwenye lodge, hoteli mbalimbali lakini umeshawahi kufikiria au kudadisi ukiingia kwenye chumba ulichopanga hoteli kukichunguza kwa dakika kadhaa ??
.
Haijalishi wewe ni jinsia Gani Mwanaume au mwanamke lakini suala la Usalama wa faragha yako ni muhimu sana !!!. Kuna jamaa mmoja ambaye ni mfanya usafi amekamatwa kwa Kosa la kutega Kamera kwenye bafu la kuogea kwa wateja.
Mwanamke huyo Aliweza kugundua Uwepo wa Kamera kwenye kopo la Sabuni ambayo iliyokuwa imefichwa ndani ya chupa harpic kwenye choo.
Mwanamke Aliweza kuona jambo lisilo la kawaida kwenye hiyo chupa ya harpic, alipozima Taa Aliweza kuona Mwanga unatoka kwenye hiyo chupa ya Sabuni aliposogerea ndipo akaona Kuna Kamera imetegwa ikitizama kiti cha choo.
Ilikua inarekodi kwa zaidi ya lisaa ndani kulikua na simu baada ya uchunguzi ikabainika simu ilikua ya mfanya usafi
Kumbuka ni muhimu kukagua vyoo vya umma kabla ujaanza kufanya huduma yoyote ili uwe sala
ma zaidi.