Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Anonymous
Tunaomba muongee na viongozi wa halmashauri ya Chato, ajira mpya walimu toka tumeripoti kazini hatuelewi nini kinaendelea, tunaishi maisha ya shida hawajatupa hela za kujikimu in short tupo tupo...
0 Reactions
9 Replies
729 Views
Wananchi zaidi elfu 10,000 wa kata ya Itezi jijini Mbeya, wameondokana na shida ya upatikanaji wa maji safi baada ya Mamlaka ya maji na usafi wa mazingira Mbeya MBEYAUWSA, kuzindua mradi wa maji...
1 Reactions
1 Replies
280 Views
Sheikh wa Mkoa wa Mbeya, Msafiri Ayasi Njalambah, amesisitiza kuwa amani na utulivu ni fahari ya Jiji la Mbeya na msingi wa maendeleo endelevu. Sheikh Njalambah amepongeza juhudi za Serikali ya...
1 Reactions
2 Replies
315 Views
South African traditional DNA test. This is a common practice by the Zulu people of South Africa. Also practiced in Zimbabwe and Lesotho. The cows approach cautiously and harmlessly to inspect...
2 Reactions
3 Replies
551 Views
Kufuatia taarifa za kupotea katika mazingira yanayodaiwa ‘kutekwa’ kwa Shadrack Chaula ambaye ni Msanii wa Sanaa ya Uchoraji, baba mzazi wa kijana huyo, mzee Yusuph Sisala Chaula amesema anaomba...
7 Reactions
107 Replies
7K Views
Nataka kusafiri kwenda Eritrea kwa njia ya basi au treni je mnawezaje kufika? Naomba msaada kwa ana fahamu
0 Reactions
1 Replies
314 Views
Zamani miaka ya nyuma Msiba ulikuwa unatumia Mwezi mzima . Ila jambo ambalo huwa nalitafakari ni kuhusu "the power of connectivity" Yaani kuna wale ndugu zetu walikuwa wakitoka Bukoba na kwenda...
7 Reactions
26 Replies
1K Views
Zile nyumba ambazo unakuta unaishi na mwenye nyumba pamoja na watoto wake ambao wamekuwa mpaka kunaitajika kubandika bango la kuuza ice cream. Na kama mwanaume ukiwa vizuri yani utaona mwenye...
4 Reactions
11 Replies
619 Views
Watu wengi hujiona kuwa wavivu, wakihisi kana kwamba hawawezi kujituma ipasavyo ili kufanikisha malengo yao. Lakini tafakari kwa kina: Je, kweli ni uvivu, au ni ukosefu wa nidhamu? Uvivu...
0 Reactions
0 Replies
393 Views
Je kitabu Cha nabii Amosi kimejikita hasa kwenye Nini na uhusiano wake na maisha ya jamii na kanisa la leo. Tunaweza tukashare idea kwa yeyote anayejua na kufahamu.
1 Reactions
2 Replies
292 Views
Mchumba huyu nimedumu nae miaka miwili Sasa, ila dharau na jeuri ndio Tabia yake sugu. Sasa imetosha.
18 Reactions
83 Replies
4K Views
Hivi majuzi TRA wametangaza ajira kwa vijana nza taarifa tulizo nazo ni kuwa vijana zaidi ya 100,000 wameomba kazi TRA. Mimi nina ushauri kuhusu ajira hizi. Tanzania Bara tunayo Halmashauri 188...
2 Reactions
4 Replies
665 Views
Top 100 richest people in the world (as of 21 December 2024): 1. 🇺🇸 Elon Musk, $444B 2. 🇺🇸 Jeff Bezos, $244B 3. 🇺🇸 Mark Zuckerberg, $207B 4. 🇺🇸 Larry Ellison, $190B 5. 🇫🇷 Bernard Arnault, $176B...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Moshi Jonathan Kabengwe, amesema majina ya Waombaji wa ajira 1,596 zilizotangazwa na TRA hivi karibuni yatatangazwa...
11 Reactions
24 Replies
3K Views
1. Alaska Hiki ni kipande cha ardhi kilichokuwa siku za nyuma chini ya himaya ya Urusi kabla hajakiuza kwa Marekani, lakini Marekani walikinunua na kuwa sehemu ya ardhi yake. Kisiwa hiki pia...
45 Reactions
101 Replies
29K Views
Ota, Nigeria – Waumini katika ibada ya Jumapili walishuhudia tukio la kushangaza na lisilo la kawaida kanisani, baada ya mwanamke mmoja kuanza kuongea kwa sauti tano tofauti wakati wa ibada...
7 Reactions
35 Replies
2K Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe, Mkoa wa Njombe, kukamilisha ujenzi wa bwalo la chakula la shule ya Sekondari ya wasichana ya Sayansi ya Njombe iliyopo...
0 Reactions
0 Replies
222 Views
Wakuu habarini za Mda Huu, Nina Kisa kimoja leo kama mnavyojua baada ya kumaliza Chuo Basi tunavyosubiri milioni Basi tunatafuta Buku. Jana majira ya saa 4 Asubuhi nikiwa katika kijiwe changu cha...
51 Reactions
124 Replies
18K Views
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, amejumuika na wananchi wa Wilaya ya Siha katika kata za Mung’e na Miti Mirefu kwa shughuli za uchimbaji mitaro kwa ajili ya kusimika mabomba ya maji...
0 Reactions
3 Replies
304 Views
Igweeeeeee Habari za jumapili wanajamvi, Katika hali ya kawaida na nyakati hizi hasa kwa watu wanaoishi jijini Dar es Salaam gari imekuwa ni sehemu ya mahitaji muhimu kwa binadamu Mtu unaishi...
22 Reactions
233 Replies
11K Views
Back
Top Bottom