Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wavumbuzi 16 kutoka nchi saba za Afrika wanawania Tuzo ya Ubunifu katika masuala ya Uhandisi Afrika kwa mwaka 2025 ambapo nchi 30 zilituma maombi. Tuzo hii ilianzishwa mwaka 2014, na ni tuzo...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Tukisema Tubadilishane, Viongozi hivi, Hawa Viongozi wetu wakienda Ulaya, Je maendeleo yataendelea kuwepo au yatakufa.
0 Reactions
1 Replies
313 Views
Utafiti mtandaoni unaonyesha Africa kuna Wachina 1m. South Africa ikiwa na Wachina zaidi ya laki nne. Nchi ya Zambia ina wachina 100,000. Kenya wapo 50,000. Tanzania yetu wapo 30,000. Mytake...
11 Reactions
13 Replies
1K Views
Pamoja na kwamba tunaona majengo makubwa na miondombinu mizuri inayomeremeta China ila ukweli pia ni kwamba raia wengi wa nchi hiyo hata wale wenye kipato kizuri cha wastani kwa huko kwao...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Baada ya Rais Trump wa Marekani kuiongezea china Terrifs kwenye bidhaa zake kutoka asilimia 10 hadi ishirini. Nao wamejibu kuiongezea bidhaa za marekani asilimia 15. Bidhaa za marekani ambazo...
18 Reactions
44 Replies
2K Views
Mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Arusha (IAA), Prof. Eliamini Sedoyeka alisomewa mshtaka manne katika Baraza la Maadili kutokana na malalamiko manne ya kukiuka maadili ya Viongozi wa Umma ambapo...
9 Reactions
68 Replies
5K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Unguja linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kubaka watoto katika matukio mawili tofauti. Akizungumza na waandishi wa habari huko Tunguu, Makao Makuu ya Polisi...
5 Reactions
5 Replies
527 Views
Nisiwachoshe asubuhi hii hata chai hamjanywa Ila ningekuwa waziri wa elimu ningeondoa masomo ya historia, uraia, hisabati na kiswahili kuwa masomo ya lazima sekondari badala yake ningeweka...
4 Reactions
22 Replies
833 Views
Habarini, Nimewaza kwa mfano itokee system ya kugundua na kuthibitisha makosa yaliyofanywa na watu wote nchini walio above 18, ambayo adhabu zake zimeainishwa kwenye penal code k.v 1)Kufanya...
2 Reactions
2 Replies
380 Views
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mheshimiwa Dkt. Stergomena Tax (Mb), tarehe 05 Machi, 2025, ameshiriki kikao cha Dharura cha Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya...
1 Reactions
1 Replies
256 Views
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUONDOLEWA KWA HITAJIO LA VISA KWA WATANZANIA WANAOINGIA NCHINI JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO (DRC) KUANZIA TAREHE 20 MACHI, 2025 Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano...
5 Reactions
9 Replies
894 Views
Mimi siwezi kufanya kazi ya kubeba zege mpaka naingia kaburini na usomi wangu huu eti nianze kupandisha ngazi na ndoo lenye ujazo wa kokoto simenti na mchanga juu gorofani bora nilale geto tu...
12 Reactions
149 Replies
5K Views
Hello Marafiki, Mimi ndio nataka kununua kiwanja kwa mara ya kwanza, ningependa kujua ni processes gani nazopaswa kufuata ili kukamilisha manunuzi hadi umiliki unaotambulika kisheria. Na pia ni...
9 Reactions
89 Replies
65K Views
Hii imekaaje Shule za serikali Kenya kuwa na School buss Ila sisi tukawa hatuna.? Cc @Dr Doroth Gwajima D
4 Reactions
14 Replies
672 Views
Copper inachimbwa kwa wingi sana DRC tokea mda sana ila cha ajabu kama nchi tumeshindwa kutumia hii nafasi ya kuitumia copper kwa manufaa ya nchi Ni wakati wa nchi kuvutia waekezaji waje wajenge...
3 Reactions
19 Replies
909 Views
Mbunge wa Jimbo la Butiama na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini amewataka Maafisa biashara kuhamasisha wananchi kuanzisha biashara na sio kufungia biashara kama...
2 Reactions
1 Replies
281 Views
Yuko busy sana kutengeneza Scenes mbalimbali za Movies zake zijazo ikiwemo ile Kubwa atakayoizindua Oktoba au Novemba.
2 Reactions
10 Replies
783 Views
Habarini wakuu, mimi uhuru one nataka kujua muda sahihi wa wakristo kupata kifungua kinywa baada ya fungwa ya kutwa nzima. Tukumbuke Ramadhani hii imeambatana na ndugu zetu nao wanatimiza funga...
20 Reactions
117 Replies
5K Views
Wadau hamjamboni nyote? Ni maandiko matakatifu, Kwetu ni Mbinguni hukoo peponi wala hakutuhusu Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu Ufunuo 21:1-,, Wafilipi 3:20 Nehemiah 9:6
1 Reactions
2 Replies
220 Views
MAKUSANYO ya maduhuli ya Serikali kupitia Sekta ya Madini katika Mkoa wa Shinyanga yatokanayo na mrabaha, tozo na ada mbalimbali kwa mwaka wa fedha ulioanza Julai 2024/ 2025 ni Shilingi Bilioni...
0 Reactions
1 Replies
327 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…