Nchi zenye wachina Wengi Afrika

Nchi zenye wachina Wengi Afrika

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
11,626
Reaction score
20,582
Utafiti mtandaoni unaonyesha Africa kuna Wachina 1m. South Africa ikiwa na Wachina zaidi ya laki nne. Nchi ya Zambia ina wachina 100,000. Kenya wapo 50,000. Tanzania yetu wapo 30,000.

Mytake. Kwa labour cost ya China haikutakiwa tulielie wakija kwetu kutuuzia bidhaandogo ndogo. Vitu kama viatu, nguo, mikanda, toys na mapambo, furnitures, Chinaware nk sisi ndiyo tulitakiwa tuwe tunaenda kuuza kwao. Sometimes mtu unaona bora waje tu akili itukae sawa.
 
Umeamka na kiporo cha chai maharagwe nini? Asubuhi asubuhi Wachina - iyo idadi ume-calculate na smart phone.
 
Hii Takwimu yako umeitoa wapi?? Naomba chanzo chake niji ridhishe.. Nina mashaka nayo.. Wachina 30,000. Ndiyo wapo Tanzania ni uongo.. Hao ni wachache sana.. Nahisi pia hujui kuwa wachina wengi wapo mikoani kwenye Machimbo ya Nikel na Graphite...
 
Basi watanzania wana roho mbaya sana... Kumbe South Africa kuna wachina 400000, Kenya 50000 na wametuzidi maendeleo lakini sisi kuna wachina 30000 tu alafu madalali pale kariakoo mshipa unawatoka 😆
Madalali watulie tu dawa iwaingie vizuri!!! Walizoea sana ganji raundi hii hawatoboi
 
Utafiti mtandaoni unaonyesha Africa kuna Wachina 1m. South Africa ikiwa na Wachina zaidi ya laki nne. Nchi ya Zambia ina wachina 100,000. Kenya wapo 50,000. Tanzania yetu wapo 30,000.

Mytake. Kwa labour cost ya China haikutakiwa tulielie wakija kwetu kutuuzia bidhaandogo ndogo. Vitu kama viatu, nguo, mikanda, toys na mapambo, furnitures, Chinaware nk sisi ndiyo tulitakiwa tuwe tunaenda kuuza kwao. Sometimes mtu unaona bora waje tu akili itukae sawa.
Sahihi kabisa. Mimi nilidhani hapa wapo wengi kuzidi nchi nyingi za Africa Mashariki kumbe hata Uganda inao wengi zaidi. Kwa wavivu wa kusoma hii article kutoka Wikipedia yenye takwimu hizi:
1742537337786.png
 
Back
Top Bottom