Mko poa wakuu
Nmepata wazo nimeona niwape mumpelekee mama au watu wake wa karibu..
Njooni na iftari ya FTURU NA MAMA..
Hii iwe km give back tu commonly..
Ifanyike kwny chungu cha 28 au 29...
Wananchi wa Kata ya Katesh, wilayani Hanang, mkoani Manyara, wamelalamikia kutoshirikishwa katika kuibua na kutekeleza miradi ya maendeleo ikiwemo ya elimu na afya hivyo kushindwa kusimamia...
BODI ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imesema inatarajia kuanza utaratibu wa kusajili waandishi wa habari kupitia mfumo wa kidijitali ifikapo mwanzoni mwa mwezi Mei, 2025.
Taarifa...
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, ameendelea na ziara yake ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo wilayani Hanang', ambapo ameshuhudia uchimbaji wa kisima katika Kijiji cha Endasworld...
Huu upuuzi unapatikana Tanzania tu, ukiingia mitandaoni hasa Twitter, Instagram, Threads utakutana na "Ads" nyingi za CCM kuichafua CHADEMA kuliko "Ads" zinazoitangaza nchi kwa mambo mbalimbali...
Watu 'wasiojulikana' wamefika katika Kitongoji cha Mchango wa Hela, Pwani, na kubomoa nyumba kadhaa huku wakichoma moto baadhi ya vitu, wakidai kutumwa na mmiliki wa eneo hilo.
Tukio hili limezua...
Wakuu
Wananchi Wilayani Kibiti Mkoani Pwani Wametakiwa kuilinda vyema miradi ya maji ya wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira vijijini RUWASA waliyojengewa na Serikali ili iweze Kudumu na...
Miguu ya Kuku hutumika, kama hirizi katika mila ya Voodoo, Hoodoo, Amerika Kusini na Conjure. Matumizi bora kwa miguu ya kuku ni wakati unahitaji ulinzi kutoka kwenye mambo hasi na upepo...
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, ameagiza Miradi yote Mikubwa na ya Kati ya madini ambayo tayari imekwishapewa leseni kuanza utekelezaji wake mara moja ili kuchochea ukuaji wa sekta na kuleta...
Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (Rea), Mhandisi Hassan Said ametangaza kukamilika kwa miradi minne mikubwa ya umeme inayolenga kuleta nishati katika vijiji 5,259, ikijumuisha vijiji...
Naombeni msaada waungwana wa JamiiForum .
Nina amini humu kuna watu wenye taarifa .
Naomba msaada nahitaji kufahamu je mtu gani au taasisi gani inayo weza kutoa mafunzo ya kuzungumza lugha ya...
Habari,
Kama kweli biblia/ukristo na uislam/quruan vina nguvu ya Mungu kwanini vistumike kumaliza matatizo ya vita,wizi,magonjwa,ufisadi,n.k duniani kote na hasahasa Afrika wakati kila leo watu...
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro
amesema kuwa, Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia mpaka sasa imefika katika mikoa 23, ambapo imesikiliza na kutatua kero na changamoto za...
Nipo nje ya nchi na pasipoti yangu imeisha muda.
Nimesha jaza maombi ya pasipoti mpya na pia nimefanya malipo kwenye tovuti ya Uhamiaji.
Pia nimetuma barua pepe na copi Ubalozi. Lakini bado...
SAFARI ZA IRINGA ZAREJEA, TWIGA MILES KUTUMIKA KUKATA TIKETI
12 Februari, 2025, Dar es Salaam
Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) inapenda kuujulisha Umma kuwa inarejesha safari za moja kwa moja...
JF raha yake ni mara umepigwa ban, mara umepiga mtu za chembe, mara amekushtaki mara unaitwa ujieleze, mara mtu kakushtaki unaingia unakuta umepigwa ban unacheka unasema hapa sawa.
Ama sivyo...
Na. Martin Bashando Shaboka
Zamani niliamini naweza kuwa mtu wa maana kwa kuambatana na jamii ya watu fulani ninaowaheshimu au wanaoheshimika kwenye jamii, Baadaye nikaja kugundua nilikuwa...