Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wiki iliyopita nilibahatika kufika Soko kubwa kabisa la jumla mjini Morogoro linaitwa Mawezi Pamoja na soko hilo kuwa na miundombinu ya kizamani (nafikiri ya miaka 80?) kilicho nishangaza kila...
1 Reactions
3 Replies
398 Views
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba ameishukuru Italia kwa kutoa dhamana ya mkopo wa kujenga Reli ya Kisasa (SGR), kipande cha Kwanza na cha pili kuanzia Dar es Salaam, Morogoro, Dodoma hadi...
4 Reactions
5 Replies
564 Views
Inanishangaza na kujiuliza hivi vituo vya television vya Eatv na Star tv ni vya vituo vya kikristo na kama sio mbona kila asubuhi saa kumi na mbili ni kupiga nyimbo za kwaya tu as if watazamaji...
2 Reactions
16 Replies
927 Views
Nimeuliza tu ili kutaka kujua, maana sijawahi kuona wala kusikia kama wameandaa futari popote kwa ajili ya wengine kama wafanyavyo Waislam. Naomba Kuwasilisha
28 Reactions
334 Replies
10K Views
Kuna watu huwa wanataka kujipambanua kuwa ni waumini wa dhana hii ya MUNGU HAYUPO. Lakini kinachosikitisha upeo wao mdogo sana. Yaani waliamua kudandia hoja ambayo hawana uwezo nayo. Kifalsafa ni...
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Nimegundua kuwa hapa mjini Dar es salaam unaweza ukawa na kajumba na ukaishi maisha magumu. Ila si rahisi uwe na gari na uishi maisha magumu. Ukiwa na kagari unaweza kuchukua bidhaa na kufanya...
18 Reactions
177 Replies
24K Views
Habari wakuu, Serikali ingetunga sera kuwa wahitimu wote wa kidato cha nne waende VETA moja kwa moja kabla ya kuendelea na masomo. Hilo lifanyike ule muda wanaosubiri matokeo. Hii itasaidia...
2 Reactions
4 Replies
366 Views
Wizara ya Afya imetoa ufafanuzi kuhusu taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ya mkazi wa Daraja mbili mkoani Arusha Bi. Neema Kilugala aliyejifungua kwa njia ya upasuaji katika Hospitali...
3 Reactions
4 Replies
713 Views
Hili swala ni zuri sana, Ila kuna watu wanajifanya kuwa na ushawishi wa kuhamasisha kujituma ili kupata mafanikio. Mfano wa watu hawa: Forex scammer makahaba ya grade za juu watoto wa wakubwa na...
17 Reactions
43 Replies
5K Views
Kuna msikiti fulani upo maeneo ya posta jijini daresalaam huwa siwaelewi waumini wake? Katika uchunguzi wangu nilipata kuambiwa kuwa watu weusi hawaswali katika msikiti huo, pia kuna ubaguzi wa...
10 Reactions
322 Replies
34K Views
Dini ya Kimbangu (au Kimbanguism) ni dini ya Kiafrika iliyotokana na Ukristo, hasa katika Kongo. Ilianzishwa na Simon Kimbangu (1887–1951), ambaye alitangaza ujumbe wa kiroho na kufanya miujiza...
2 Reactions
3 Replies
460 Views
UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI? Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni kile kinachobakia baada ya kuondoa...
8 Reactions
19 Replies
3K Views
Dini ya Jainism ni moja kati ya dini za kale za Uhindi, pamoja na Hinduism na Buddhism. Inafuata mafundisho ya Tirthankaras (waongozi wa kiroho), na Mahavira (aliyezaliwa karibu 599-527 KK) ndiye...
1 Reactions
1 Replies
224 Views
π—šπ—”π—­π—˜π—§π—œ π—Ÿπ—” 𝗠π—ͺπ—”π—‘π—šπ—”π—­π—” π—Ÿπ—œπ— π—˜π—”π—‘π—šπ—”π—­π—” π—§π—˜π—‘π—” 4R zaamsha mikutano ya kisiasa! Wasira awapa somo kubwa wanaohoji deni la Taifa 2024! Kipigo cha Mwenezi aibu kubwa CHADEMA ! Karibu usome Gazeti zima...
0 Reactions
2 Replies
276 Views
Muimbaji wa nyimbo za Injili, Upendo Nkone, ametoa angalizo kwa wazazi kuhusu ulaji wa mayai ya kuku wa kisasa kwa kudai kuwa yanaongeza ukuaji wa matiti kwa watoto wa kiume. Muimbaji huyo...
14 Reactions
128 Replies
4K Views
Watanzania wengi kwa kweli labda tuna utaahiria fulani wa kutoweza kufikiri. Katika mazingira ya hali ilivyo Tanzania, nilitarajia kutokee mapinduzi ya kiuongozi aidha wananchi kudai serikali mpya...
9 Reactions
23 Replies
1K Views
Sasa kama ndio hivi mnafanya si mtashindwa na wachina biashara.
2 Reactions
5 Replies
363 Views
Sisi wakulima wa ukanda wa Pwani tunateseka sana na mbolea , hakuna mbolea yoyote ya Ruzuku kwa sasa ilipo kwa mawakala , toka mwezi wa 11 mwishoni, kila wakala anasema serikali haijalipa...
1 Reactions
1 Replies
314 Views
Utangulizi Vijana wa kileo wanaita utandawazi...kwa kijana wa kileo aidha awe binti ama mwanaume, ukifungua simu yake, asilimia 98 kama hutakuta Wana apps hizi maarufu za kujianika mitandaoni...
26 Reactions
84 Replies
5K Views
Kwa mwenendo wa matokeo haya, kuna uwezekano Nusu Fainali hadi Fainali zikawa ni Timu za Falao na Wazulu zitakazo Chuana.
0 Reactions
3 Replies
586 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…