Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wakuu, Wahenga wanasema kuuliza sio ujinga. Kuna ndugu yangu mmoja mme wake amefanya kazi kati ya taasisi hizi: TBS, EWURA, TRA, TTCL, TCRA na TPA? Amejaribu kuniuliza hawa watu...
2 Reactions
8 Replies
937 Views
Ndugu zangu wana jamvi naomba mnisaidie mawazo ya kisheria na kikanuni. Kuna watumishi idara ya elimu msingi wamehamishwa tangu mwaka jana mwezi wa 5 lakini hawakulipwa fedha ya uhamisho...
0 Reactions
1 Replies
234 Views
SERIKALI kupitia Ofisi ya Rais-TAMISEMI inatoa fursa ya mwezi mmoja kwa wanafunzi waliohitimu Kidato cha Nne mwaka 2024 kubadili tahasusi au kozi itakayomwandaa kuwa na utaalamu stahiki katika...
0 Reactions
0 Replies
850 Views
Wakuu Naona Kondoo anatikisa mfumo Soma: Mpaka Mchungaji kashtuka! Mama amwambia Mchungaji Mungu alimwambia ampe Laki 6
6 Reactions
21 Replies
1K Views
"Wasabato Masalia"....Hawa siku hiyo waliamka Asubuhi na Mission Moja hivi"Kuihubiri Injili Ulimwenguni Pote", wakaenda kupiga kambi uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere Dar-es-salaam...
10 Reactions
24 Replies
911 Views
Nikipomleta Sheikh anifanyie dua kwenye biashara yangu, watu wote wakanichukia na kuanza.kusema Mimi ni mchawi. Kuanzia siku hiyo kila MTU anamwaga maji na mafuta kwenye frem yake kama...
13 Reactions
35 Replies
2K Views
Nimekutana na rafiki yangu mmoja akasema Huwa hampatikani kwa video play,lkn nimejaribu Leo video hazichezi,naombeni mitandao yote ya simu kupitia Tcra via u - tube mtoe access,watu tumetoka...
0 Reactions
0 Replies
255 Views
Na huu ni ukaguzi wangu binafsi kutokana na eneo nililopo. Hapa nitatoa kitu kinajulikana km customer feedback. Awali ya yote mimi ninatumia mitandao yote ya simu yaan Airtel, Yas zamani...
8 Reactions
54 Replies
4K Views
Zab 124:8 SUV [8] Msaada wetu u katika jina la BWANA, Aliyezifanya mbingu na nchi. Kwa akili zetu za kawaida tunaweza tukawa tunafikiri msaada wetu wa uhakika tunaweza kupata kwa wazazi wetu...
2 Reactions
4 Replies
301 Views
Salam kwenu.. Nije kwenye hoja.. Hawa walimu wanasikitisha.. Mishahara ni midogo sana.. 200,000/- mpaka 400,000/- kwa mwezi. Kazi ni kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa 12 jioni. Jumatatu mpaka...
20 Reactions
72 Replies
4K Views
WATASHA walisema Maisha ni mipango hili ni sahihi kwa 100%, yawekana tumeshindwa kutoboa kwa kukosa mipango sahihi na kuwa na Nidhamu hafifu ya Fedha. Muda wa kustaafu kwa mtumishi wa umma ni...
13 Reactions
76 Replies
3K Views
1/ Hiyo ndio halmashauri ambayo wenye elimu ndogo wamekalia nafasi za kiuongozi, hali inayofanya wenye elimu kubwa kukoswa fursa ya kutoa maarifa na kuyasambaza kwa wenye elimu ndogo. kwa mfano...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linawashikilia watu 19 wanaodaiwa kuwa matapeli kutoka katika makampuni yanayowarubuni vijana kwa kuwafundisha mbinu za utajiri kupitia njia za mtandaoni. Kamanda...
1 Reactions
10 Replies
731 Views
HAKIKISHA una PASSPORT Kama huna sema uelekezwe kwa kuipata Niaje wakuu Lengo la group letu ni kupeana taarifa na mbinu pia scholarship na fursa zote zitazakazotupeleka NJE YA AFRICA. GROUP...
0 Reactions
0 Replies
297 Views
Mimi kama mwanafunzi wa elimu ya juu, naomba ushauri kwa ndugu zangu wenye experience kubwa ya maisha. Kutokana na tatizo la ukosefu wa ajira, tunatakiwa kutafuta taaluma zingine za vitendo ili...
7 Reactions
17 Replies
752 Views
Mtasalimiwa na Boss la DP World Nilijua ndani ya ukristo tu ndo kuna madhebu yanayopingana huku yote yakimuamini YESU.Ebu ona hapa. 1.Wakati kuna wakrito wamefunga Kwaresma kuna wakristo hawana...
2 Reactions
14 Replies
766 Views
Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni kile kinachobakia baada ya kuondoa yote uliyofundishwa darasani. Kwa mujibu wa Einstein kuna watu wakiondoa...
26 Reactions
61 Replies
4K Views
Nimechonga kabati fundi anashindwa kujua vipimo vya iyo ovena yenye jiko la gesi Kwa anaejua upana na urefu msaada plz nalitamani kitchen kabati langu fundi kizingizio chake ndo icho tu Kila...
0 Reactions
1 Replies
393 Views
TAARIFA KWA UMMA (Tunaitaka Serikali kuunda tume huru kuchunguza matukio yote ya Mauwaji, Vipigo na Utekaji, Zanzibar) ACT-Wazalendo, tumepokea kwa mshituko taarifa ya kutekwa, ndugu Fakih Ali...
0 Reactions
1 Replies
540 Views
Bado na wewe siku ya sikukuu , unatoka kama mtoto , na una demand nguo mpya kabisa au umeacha hayo mambo? Mimi nipo kazini
1 Reactions
11 Replies
555 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…