Ukishaingia kwenye situation kama hii Porini Bachelor, Masters, CPA au PHD haviwezi kukutoa hapa.
Inabidi uweke vyeti pembeni kwanza.
Ili uweze kutoka hapa utahitaji elimu ndogo sana, zaidi...
Waziri wa Madini Anthony Mavunde amezindua rasmi shughuli za uchimbaji madini katika mgodi wa Porcupine North- uliopo Makongorosi Wilayani Chunya Mkoa wa Mbeya unaomilikiwa na Kampuni ya Shanta...
Wachumi naomba mnisaidie, nimeona juzi diamond platinum anajisifu ameuza kontena 30 za sabuni ndani ya week, at the same time ukienda kigoma- sido wanazalisha sabuni zenye mfanano kama ulivyo, na...
Wadau hamjamboni nyote?
Yesu Kristo na Mama yake Mariamu wamepewa kingq dhidi ya shetani aliyelaaniwa
Tuendelee kupeana elimu
AALI IMRAAN: 36
Asubuhi njema
Wakuu heshima kwenu. Poleni na majukumu.
Ndugu yenu numerudi tena kuwajuza yale yanayoendelea kunisibu, maana najua hapa wamejaa watu wenye upeo wa kushauri, kutia moyo ,kuonya, kukufungua jicho...
Habari wakuu wa jf
Katika pita pita zangu huko na huku nimekutana na content fupi ikielezea kuhusu marketing hasa kwa upande wa wasanii Wanaojitafuta
Kuna vitu kwa uchache tu vimeeoezwa na...
Habari ndugu Wana jf
Kama kichwa Cha habari kinavyojinasibu,ni muda sasa wa kuwa na management ili kuweza Kupiga hata nyingine mbele
Reference
https://youtu.be/VK7hmI2f0nM?si=llacND976UlR3kLR...
Kuna watu wanafundisha kwamba jina jingine la Yesu ni Nabii Isa. Ukweli ni kwamba kuna tofauti kubwa kati ya Yesu Kristo na Nabii Isa.
Yesu Kristo ana sifa kuu zifuatazo:
Ni Mwana wa Mungu na...
Kitendo cha Serikali ya wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu kukaa meza moja na wananchi wanne wa kijiji cha Iyogelo Kata ya Binza wanaodai fidia baada ya sehemu ya maeneo yao ya ardhi kutwaliwa na...
Wadau hamjamboni nyote?
Tafadhali toa ushahidi kwa kile unachochangia vinginevyo ukae kimya
Dini halisi zinakataa katukatu kuwa Kristo aliteswa na kufufuka, nyie mmetoa wapi habari hizo...
Na teknolojia imesaidia kuvifanya hivi vicamera kuwa vidogo kulingana na tip ya kidole kufanya urahisi wa kukaweka sehemu zilizo remote sana na muathirika kutogundua chochote...
Mimi nakumbuka kuna mabasi yalikuwa yanaitwa Saibaba,mtoto wa simba.
Tukija wanamuziki kulikuwa three sister enzi hizo za ITV wadada fulani swaga za ulaya,mtoto wa dandu,msondo ngoma.
Upande...
Nimeamka saa kumi alfajiri.
Nimeenda kazini kwa miguu.
Nimefanya kazi hadi jua kuzama.
Na bado, sina chochote.
Ninarudi nyumbani kwa bibi yangu,iîu
nyumba ya bati zilizochoka,
chakula ni ugali na...
Sitashangaa sana popote napomuona Said Mtanda akivunja utaratibu wa wazi!
Huyu jamaa alishawahi kuja ofisini kwetu kutaka huduma kama mteja!
Kwanza kabisa alikataa kupaki gari yake sehemu ya...
Wananchi wa Kijiji cha Mlowa Bwawani, Wilaya ya Chamwino, Mkoa wa Dodoma, wamemlalamikia Diwani wa kata hiyo, Andrew Richard Mseya (CCM), kwa madai ya kutumia mamlaka yake kuwanyanyasa, kuwapiga...
Wananchi wilayani Makete mkoani Njombe wametakiwa kuepuka tabia ya kusalimiana kwa kushikana mikono sambamba na kuacha kutumia vitoweo vya wanyama kama Nyani pamoja na Ngedere ili kujikinga na...
USHUHUDA WA PASTOR CHIDUBEM OKWU ALIYEENDA MARINE KINGDOM KUJIPATIA NGUVU KUTOKA KATIKA FALME ZA GIZA ILI AWE MTENDA MIUJIZA MIKUBWA KANISANI KWAKE NA APATE WATU WENGI.
Maana ya huyu mchungaji...
Jana nilikuwa nazika dogo MMOJA pale Arusha sekei
Kijana amekuwa na bosi wake miaka kama kumi
Wakafanikiwa KWENDA kununua kiwanja bagamoyo hk 4
BOsi wake hakufanjkiwa kukiendeleza
Wakaakaa...
Katika mpango wake wa kuongeza ujumuishaji wa wananchi kiuchumi, Benki ya CRDB imezindua huduma ya mikopo ya Jinasue inayowalenga wateja wake wote wenye uhitaji wa fedha.
Huduma hiyo...
WANAUME WALALAMIKA KURUKISHWA KICHURA CHURA ILI WAPEWE TENDO LA NDOA
Baadhi ya wanaume wamelalamikia kunyanyaswa na wake zao kwa kupewa unyumba kwa masharti ikiwemo kuwataka kuruka kichura-chura...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.