Je, unajua kwamba:
- Kijiko kimoja cha asali kinatosha kuweka mtu hai kwa masaa 24
- Moja ya sarafu za kwanza ulimwenguni zilikuwa na ishara ya nyuki
- Asali ina enzymes hai. Kijiko cha chuma...
Kuelekea Ujenzi wa barabara za kulipia Tanzania (toll road) David Kafulila, Mkurungezi Mtendaji PPP amewatoa hofu Watanzania kuwa sio lazima mtu apite kwenye barabara ya kulipia kwani kila...
Ulinzi wa maadili hasa kwa vijana wa kiume dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia,ikiwa ni pamoja na kufanyiwa vitendo vya kulawitiwa ni suala nyeti linalohitaji hatua madhubuti kutoka kwa...
Hivi ni sahihi kwa wakala kuomba simu yako ya mkononi kuangalia sms ya muamala kama imeingia? Binafsi mimi naona ni kuvunja privacy au taarifa za siri za mtu kwani sms ya muamala inaonyesha kiasi...
Waefeso 5.12 “kwa kuwa yanayotendeka kwao kwa siri, ni aibu hata kuyanena”.
Zamani ilikuwa ni rahisi kumtambua mtu mwenye dhambi kwa kumtazama tu au kumwangalia mienendo yake kwasababu karibu...
Ikizindua msimu wa tano wa kampeni ya yake ya Benki ni SimBaking, Benki ya CRDB imetangaza kutenga zawadi kiasi cha shilingi milioni 240 pamoja na magari matano.
Akizindua kampeni hiyo, Mkurugenzi...
Katika hatua dunia ipofikia sasa, Teknolojia inazidi kukimbiza kila sekta ya Dunia... mababu waliofakiriki kipindi cha utumwa wakifufuka Leo wanaweza kupigwa na butwaaa na kuacha vinywa wazi kama...
Mtoto Elvila Eliudi mwenye umri wa miaka mitano, amefariki dunia baada ya kuchinjwa na mtoto wa mmoja wa wapangaji waliokuwa wakiishi nyumba moja Temboni Kimara Dar es Salaam.
Video: ITV Digital
Nasa imefanikiwa kugundua Sayari ya Almasi kwenye Anga za Juu yenye ukubwa mara Tano ya Dunia
Shirika la Anga la kimataifa Nasa, imefanikiwa kugundua Exoplanets ambayo ni Tajri uko Anga za Juu...
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi leo Aprili 3, 2025, amefanya ziara ya siku moja mkoani Njombe kwa lengo la kusikiliza na kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa...
Haijalishi mtoto wako ni wa elementary school au shule za kawaida za serikali.
Kaa na mtoto wako karibu, kuwa rafiki yake, ubize wa maisha usikunyime muda na mtoto,
Muahidi na mpatie vitamu...
Wawakilishi wa Shirika la Afya duniani waingilie sakata la mama aliyeibiwa mtoto Hospital ya Mount Meru kwasababu vipimo vya DNA vimebatilishwa
Ikumbwe mama aliyeibiwa mtoto alijifungua kwa...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi leo Aprili 3, 2025, amefanya ziara ya siku moja mkoani Njombe kwa lengo la kusikiliza na kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa...
Jarida la Forbes Mwaka 2025 limemtaja Mtanzania Mohamed Gullam Dewji “MO Dewji” katika orodha ya mabilionea wa Afrika, listi mpya iliyotolewa na Forbes, Machi 29, 2025, imeonesha MO anashika...
Umetokea wizi usiku wa kuamkia leo. Wezi wameiba masufuria Sita (6) ya kupikia chakula kwa ajili ya wanafunzi.
Shule hiyo ina wanafunzi wa kutwa na hostel kwa baadhi ya wanafunzi.
Pia wameiba...
Endapo mwaka 2040 nikitangazwa Kama Rais
Nitafuta
Kamali
Simba
Yanga
Ccm.
Pia wakamalia wote watafungwa gerezani mwaka mmoja .
Na sitoruhsu unywaji wa pombe bali wine tu
Niambieni Tunaongeza budget gan kwene huduma zenu!!…..
Huko mbeleni taasisi binafsi zikiwezeshwa serikalini hakutakua na mteja hata mmoja.
NB: Nawaza kwa sauti
Mfano hako ka bundeji na kimfuko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.