Mtaani Kuna vituko sana sijui niseme ni uchu wa nyama ama ni sahihi.stori ipo hivi Kuna jamaa mfugaji mwenzangu yeye kuku wake alitumbukia kwenye shimo la choo Tena ni jogoo na alitumbukia akiwa...
Nimeleta nyuzi zaidi ya moja humu kuhusu hawa watu wa bima na sidhani kama nitawazungumza vizuri bila ya wao kujirekebisha. Namuomba mola awajaalie baya lolote tu kama zawadi yao kwa huu uhuni na...
Naomba kufahamu kuhusu mshahara wa mtu aliyeajiriwa kama Polisi ila mwenye taaluma ya fani ya uhandisi( engineer). Je watu hawa wanalipwa shilingi ngapi?
Na mpangilio wa posho umekaaje?
Anayejua...
Kwa Mujibu wa Uchambuzi kutoka Takwimu za Pato la Kila Mtu Kwa Kila mkoa Kwa bei za mwaka 2023,Mkoa wa Kagera na Dodoma imetajwa kama Mikoa maskini zaidi Tanzania ikishika namba 2 na namba 5...
Mahakama ya Mkoa wa Lindi, imemhukumu kifungo cha maisha jela, Selemani Hussen Nyuka, mwenye umri wa miaka (32) baada ya kupatikana na hatia ya kwanza ya kumlawiti mtoto wake wa kumzaa na kosa la...
Kama unataka utumie nguvu zako au jasho lako kupata utajiri sahau.
Kama kazi yako kusafiri na mizigo kutoa hapa kwenda kule sahau utajiri.
Kama unataka ukalime mpunga sahau utajiri.
Pesa ziko...
Barabara ya Kitete Hospital, kupitia bank ya damu hadi Game reserve imeota majani mengi kwa muda mrefu na haijawahi safishwa.
Hali hiyo inapelekea watembea wa miguu kuwa hatarini maana wanatembea...
Kuna namna kama una akili nyepesi mtandao unaweza kukupelekesha sana, ukajihisi tumbafu kulingana na maisha unayoyaona mule, mostly ni kwa hawa vijana wadogo wa 16-27
Vijana wazuri tu wametokea...
Sekta ya afya ni moja ya eneo nyeti linalogharimu pesa nyingi za serikali inaponunua madawa toka nchi za nje kwa pesa za kigeni.
Wakati huo huo,. serikali inasomesha maelfu ya wafamasia ngazi za...
Rahman Hamis miaka 19 mkazi wa Lamadi wilaya ya Busega amefungwa jela miaka saba na Mahakama ya Hakimu mkazi mkoa wa Simiyu kwa kuiba mtoto,Stephano Godfrey ambaye alidaiwa kupotea Agosti 18,2024...
Habari wakuu
Kumekucha sasa mwenye hizi digtal items anicheki chap
SHART AWE ANAJUA KIINGEREZA
PIA ZIWE OLD ACCOUNT
OLD UK ,DUBAI,OR UAE REMITLY AU TAPTAP ACCOUNT
LETS WORK TOGETHER
Sina uhakika sana na hili suala ila ni hisia zangu naonaga Kuna watu wanapenda kula kula Kama vile wajawazito yaani mtu anaweza mkala naye kitimoto ila baada ya nusu sana akiona kuku tayari...
Mjadala huu kuhusu "kujenga na kutokujenga" ni mzuri sana kwa sababu unagusa maisha ya kila mtu kwa njia tofauti. Kuna mitazamo mingi inayotokana na uzoefu wa watu, hali ya uchumi, na vipaumbele...
Tunaishia kuwabeza kulingana na uandishi wao.
Wengine ni madogo humu , hawana experiences zenu, wanaiona duniani tofauti, so anapoleta kitu, msimamoe katika kumboresha , wengine wapo katika...
Hii ni aina mpya ya muziki nchini yenye mahadhi ya mnanda mnanda hivi.
Kwenye uzinduzi wa kampeni za CCM kuna wasanii walipanda na kuanza kushusha vitu vyenye hisia sana.
Kwa mwenye mp3 au link...
Kelele zimepigwa sana kuhusiana na huduma ya internet nchini lakini hakuna lolote acha tupige na sisi
Bei juu za huduma ya internet.
Ukizoea line fulani kwa muda kinachotokea bando la internet...
IPTL YATISHIA KUSHTAKI GAZETI LA MWANAHALISI
Wakili wa IPTL, Leonard Manyama
KAMPUNI ya kufua umeme wa dharula ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) inakusudia kwenda mahakamani kushtaki...
Nafikiri hakunaga TV show ya kizungu illioifikia umaarufu kama wa prison break hadi sasa.
Watu walimkubali sana scofield, jinsi gani alivyotumia akili yake zaidi ya nguvu katika kujinusuru yeye...
Yaani Hawa jamaa nashindwa kuwaelewa mpaka sasaa hivi nimeshinda milioni 10 tangia Jana Kila nikiingia kwenye account inakataa kumbe Hawa jamaa ni matapeli aisee modds naombeni msiunganishe na...
Ushuru wa kuingiza Gari Tanzania uko Juu sana Kuliko Zanzibar, pia Kumiliki gari kama Anasa,ila kiuhalisia gari sio Jambo la anasa Gari ni Chombo Cha usafiri kukutoa Sehemu Moja kwenda Sehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.