Rasmi, nimeamua kubet iwe kazi yangu

Rasmi, nimeamua kubet iwe kazi yangu

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
14,326
Reaction score
40,645
Ni takribani miaka 7 tangu nimehitimu bachelor degree sijawahi kupata ajira? Nimefanya sana vibarua viwandani, mashambani n.k kiukweli hela unayopata ni ya kubangaiza tu sio ya kukuwezesha kuishi vizuri na hakuna potential yoyote ya kukua kiuchumi kwenye izo mishe. Nimeomba msaada wa watu mtaani na mitandaoni ikiwemo hapa jf sijawahi kupata msaada.

Kwa kipindi chote hicho nimeishi kwa kujishusha sana nikiaamini ndio character ni rahisi kuaminika lakini ndio ivyo mabroo wanataka kunyenyekewa na kutukuzwa tu ila michongo hawatupi ni kutufanya watumwa wao, kutusimanga na kutufanyia showoffs tu. Mabroo badilikeni.

Mara kadhaa nimejaribu kujiajiri nikakwama kwa sababu mbalimbali mfano ujuzi wa biashara husika, ukosefu wa hela ya ziada kuinua biashara pale inapokwama, utunzaji wa hela, ninaoshirikiana nao kutokua waaminifu n.k

Nimejitathmini na kuangalia ni mambo gani ambayo nayajua vizuri na nikiwekeza akili na muda ninaweza kutoboa. Jibu nililopata ni kubet.
 
Naomba ni pm nikupe mbinu ya kubeti na kushinda mkeka
Hata mmi nipo kma wewe nasoma chuoni ila nahangaika sana hela hamna
Mwezi sasa tangu nmejua hii mbinu aisee kubeti ni kutamu
Ukiona utapeli pia unaweza acha.
Sitaki pesa yako wala
Ni pm tu mzee.
 
Ni takribani miaka 7 tangu nimehitimu bachelor degree sijawahi kupata ajira? Nimefanya sana vibarua viwandani, mashambani n.k kiukweli hela unayopata ni ya kubangaiza tu sio ya kukuwezesha kuishi vizuri na hakuna potential yoyote

Nimejitathmini na kuangalia ni mambo gani ambayo nayajua vizuri na nikiwekeza akili na muda ninaweza kutoboa. Jibu nililopata ni kubet.
Karibu katika chama cha ajira mbadala
 
Ni takribani miaka 7 tangu nimehitimu bachelor degree sijawahi kupata ajira? Nimefanya sana vibarua viwandani, mashambani n.k kiukweli hela unayopata ni ya kubangaiza tu sio ya kukuwezesha kuishi vizuri na hakuna potential yoyote ya kukua kiuchumi kwenye izo mishe. Nimeomba msaada wa watu mtaani na mitandaoni ikiwemo hapa jf sijawahi kupata msaada.

Kwa kipindi chote hicho nimeishi kwa kujishusha sana nikiaamini ndio character ni rahisi kuaminika lakini ndio ivyo mabroo wanataka kunyenyekewa na kutukuzwa tu ila michongo hawatupi ni kutufanya watumwa wao, kutusimanga na kutufanyia showoffs tu. Mabroo badilikeni.

Mara kadhaa nimejaribu kujiajiri nikakwama kwa sababu mbalimbali mfano ujuzi wa biashara husika, ukosefu wa hela ya ziada kuinua biashara pale inapokwama, utunzaji wa hela, ninaoshirikiana nao kutokua waaminifu n.k

Nimejitathmini na kuangalia ni mambo gani ambayo nayajua vizuri na nikiwekeza akili na muda ninaweza kutoboa. Jibu nililopata ni kubet.
Game ya Simba weka over 4.5,odds 6,weka 50,unaishi vizuri mwezi bila wasiwasi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom