Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hiki kinachofanyika ni kama kuwafanya waandishi waandike habari ambazo watawala wanataka kuzisikia na zile wasizoitaka isichapishwe. Hii inahatarisha mustakabali wa waandishi nchini. === Wizara...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Leo Mei 6, 2025, JamiiAfrica inazindua ushirikiano na IMS na UTPC wenye dhima ya “Kuwawezesha Wanahabari kwaajili ya Jamii yenye taarifa sahihi Tanzania.” Kupitia ushirikiano huu, Wanahabari...
2 Reactions
2 Replies
746 Views
Salam wakuu, Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, naomba msaada jinsi ya kusoma hizi Mita maana muda mwingine nahisi wananibambika bili. Matumizi ya kawaida tu ya maji na hapo ni familia ya...
1 Reactions
33 Replies
5K Views
Katibu Mkuu Taifa wa Chama cha Kutetea Haki na Maslahi ya Walimu Tanzania (CHAKAMWATA), Mwalimu Meshack Kapange, amesema kuna baadhi ya wanasiasa hawajui hata maana ya siasa. Katibu ameyasema hayo...
0 Reactions
0 Replies
263 Views
Ukiwa kijana unahitaji kufahamu haya mambo mawili 1. Kujua fursa 2. Kukubali kubadilika , kama mzee unahitaji kitu kimoja tu maishani 1. Utulivu , pesa inapatikana penye kundi kubwa la watu (...
4 Reactions
7 Replies
656 Views
Anaamka mtu na pombe zake kichwani na kutamka eti, tuna Rais katili sana, nacheeka sana, wanasahau ya kwamba, hata mikutano yao ilizuiliwa, wengine walipasuliwa mifupa, wengine walikimbia nchi...
1 Reactions
19 Replies
752 Views
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Masuala ya Afrika kutoka Umoja wa Ulaya, Hans Christian Stausboll, ambaye...
0 Reactions
1 Replies
482 Views
Balozi wa Tanzania Nchini Zimbabwe Mheshimiwa Suzan Kaganda, amewasili Nchini humo tayari kuanza majukumu yake katika Balozi hiyo huku akiwaomba watumishi kushirikiana ili kutimiza azima ya...
0 Reactions
2 Replies
314 Views
1. Ushahidi wa Kiakiolojia (Archaeological Evidence) Hakuna ushahidi wa moja kwa moja wa kiakiolojia (mabaki ya majengo, maandishi ya kale, nk) unaothibitisha kwamba mtu anayeitwa Ibrahim alifika...
3 Reactions
7 Replies
752 Views
Hoja za Alberto Rivera kuhusu Uhusiano Kati ya Ukatoliki na Uislamu zina fikirisha sana. Alberto Rivera ambae alikuwa jasusi wa Vatican anasema Dini ya kiislamu ilianzishwa na Holy Sea (...
13 Reactions
190 Replies
8K Views
JAmaaa kwa sasa ktk mtandao fln ndie anatumika kuwavua watu nguo na kuwadhalilisha kwa kucheza na ARTIFICIAL INTELEGENCE Sasa hv kila binti au mtu anaogopa kupost picha yake kwani wapwa...
4 Reactions
7 Replies
876 Views
If foreign markets don’t trust the US gov’t debt instruments what gov’t do they trust more. 1. United States. • GDP (2023, nominal): ~$25.5 trillion (world’s largest economy). • National Debt...
1 Reactions
5 Replies
537 Views
Wana JF, Nawaombeni msaada kuna shida moja tunahitaji ufumbuzi wa tatizo lililopo, naomba msaada kwa wanaomfahamu MGANGA BINGWA ambaye sio mbabaishaji pale MAKETE huko njombe atuasidie hata kama...
9 Reactions
102 Replies
26K Views
Habari za wakati huu wakuu. Wakubwa shikamoo, madogo wozah niaje. Kuna ongezeko kubwa la kesi za watu kujiua kwa mambo mbalimbali, hata huku kuna dogo alimaliza la 7 akakataa shule, wazazi...
10 Reactions
176 Replies
4K Views
Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imefunga tovuti, akaunti za mitandao ya kijamii, blogu na majukwaa 80,171 yaliyokuwa yakichapisha maudhui yanayokiuka maadili na kuhatarisha...
1 Reactions
7 Replies
837 Views
Dondoo za maisha: 1. Usiwakopeshe ndugu zako. Wasaidie. ¹ Ndugu zangu wapendwa katika jamvi hili adhimu la JamiiForums nawausia, usimkopeshe nduguyo, msaidie. ²Kuna ndugu wazandiki wenye husda...
34 Reactions
73 Replies
5K Views
Demokrasia ndani ya Afrika ni nyenzo ya ukoloni mamboleo. Hivi umeshawahi kujiuliza ni kwanini mabepari/ mabeberu hupenda sana kuona nchi za Afrika zikizingatia demokrasia na haki za binadamu? Na...
19 Reactions
205 Replies
22K Views
1. Tuishi kwa kutanguliza familia mbele. Marafik, ndugu wa mbali na majirani ni nyongeza tu. 2. Ukiondoka hapa duniani watakaoathirika zaidi ni familia yako (mwenza na wanao). Hao wengine...
4 Reactions
11 Replies
621 Views
Nimeshangaa kusikia NIDA inayohusika na vitambulisho inaanzisha msako wa stetionary ambao wanatengeneza vitambulisho copy. Swali ambalo la kujiuliza hawa mnaokwenda kuwasaka hata mfumo wa server...
4 Reactions
8 Replies
797 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…