Mwenye kumfahamu mganga bingwa na mkweli pale Njombe, Makete atusaidie tunashida

Alikaeli

Senior Member
Jul 30, 2016
169
193
Wana JF,

Nawaombeni msaada kuna shida moja tunahitaji ufumbuzi wa tatizo lililopo, naomba msaada kwa wanaomfahamu MGANGA BINGWA ambaye sio mbabaishaji pale MAKETE huko njombe atuasidie hata kama una namba zake mtu saidie. Unaweza ukanitumia au kunielekeza inbox akama unaona hapa watakufahamu ukitoa ushauri.

Natanguliza shukrani za kipekee.

TAFADHALI TUSITUKANE WALA KUKEJELI KILA MTU ANAYAKE MATATIZO.

Kama haikuhusu afadhali ukae kimya.
 
Mgamga wa kweli ni Yesu namba yake ni YOHANA 3:16.
Wana JF
Nawaombeni msaada kuna shida moja tunahitaji ufumbuzi wa tatizo lililopo, naomba msaada kwa wanaomfahamu MGANGA BINGWA ambaye sio mbabaishaji pale MAKETE huko njombe atuasidie hata kama una namba zake mtu saidie. unaweza ukanitumia au kunielekeza inbox akama unaona hapa watakufahamu ukitoa ushauri.

Natanguliza shukrani za kipekee.

TAFADHALI TUSITUKANE WALA KUKEJELI KILA MTU ANAYAKE MATATIZO. Kama haikuhusu afadhali ukae kimya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Njombe sidhani kama utaweza kumpata, hivi karibuni wamekuwa wanasakwa na serikali
Wizara ya Afya yatoa tamko kwa waganga wa Jadi mkoani Njombe
 
Yeremiah 17:5-6

BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA.

Maana atakuwa kama fukara nyikani, Hataona yatakapotokea mema; Bali atakaa jangwani palipo ukame, Katika nchi ya chumvi isiyokaliwa na watu.

Bado Naendelea Kujifunza
 
Wafia dini za kikoloni kama kawaida yenu
 
Back
Top Bottom