Ukiwa Rais mzalendo Afrika

Ukiwa Rais mzalendo Afrika

raiswenu

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2018
Posts
1,030
Reaction score
1,787
Ukiwa rais mzalendo Afrika na unania ya dhati ya kuleta maendeleo kwenye nchi yako, jambo la kwanza jifunze namna ya kujilinda, vinginevyo achia madaraka wakae wanao weza.

Zaidi sana labda uwe kibaraka hapo ndio pona yako. Mbaya zaidi unaweza kuwa kibaraka na usijue kama wewe ni kibaraka, kwani mfumo wa uchaguzi tulionao Afrika ni mgumu sana kwa mzalendo kupenya kukaa hapo juu, labda itokee kwa bahati mbaya, wamiliki wa mfumo wajikoroge then itokee loop hole kwa mzalendo kupenya.

Haohao watu wako unao wapambania ndio watahitimisha uwepo wako. This is Afrika
 
Kuna raisi unayemtaja hapa? Au ni dhahania tu?
 
Back
Top Bottom