Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari.. Katika maisha yetu ya kila siku ni vyema kuwa na RATIBA yoyote inayoongoza maisha yetu kama ni kwa Wiki,Mwezi, Miezi au hata Mwaka...Almuradi tuu tusiache kuwa na RATIBA inayotoa...
0 Reactions
0 Replies
242 Views
Huyu Yesu wa waislamu huwa wanasema alikua mtu wa kawaida tu bila uungu wowote na kwamba ni nabii, hao hao kwenye kitabu chao wanasema Yesu wao huyo atakuja kuhukumu binadamu, kama tujuavyo dunia...
7 Reactions
112 Replies
4K Views
Kwa wale ndugu wapenda dada poa/malaya au kwa jina lingine wale wasichana wanaojiuza mnatakiwa kuwa makini nao sana. Hii ni baada ya kijana mmoja ambaye ni dereva wa noah kujikuta akiwa rumande...
1 Reactions
58 Replies
57K Views
💭 Kampuni ya Microsoft ambayo mwaka 2003 iliweza kuitambulisha mtandao wa Skype makao yake makuu yalikua Luxembourg ambapo baada ya miaka 22 ya huduma inazimwa ramsi. 💥 Tarehe 5 May 2025 Mtandao...
3 Reactions
6 Replies
648 Views
UKWELI KUHUSU VIDEO YA MWANAMKE ILIYOKUWA IKISAMBAA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII. 1. Hii ni video nzima. 2. Video ya awali ilikatwa na wahuni. 3. Si mtoto, ni mtu mzima. 4. TAZAMA VIDEO NZIMA👇
0 Reactions
1 Replies
499 Views
Mimi niwe muwazi tu Baba Mpare na Mama Mchaga na nimekulia Arusha hivyo pia ni Chuga boy-tough guys. Nimefuatilia kwa miaka mingi sasa wachaga na wapare wanaogopwa sana kwenye uongozi. Nakumbuka...
15 Reactions
151 Replies
6K Views
Anonymous
Mimi ni abiria kipenzi cha SGR walau kila mwezi nasafiri mara 2 kati ya Stesheni za JPM na JMK. Kwa hiyo nina uzoefu na treni hii. Jana tarehe 25/04/2025 nilisafiri kutoka DSM kwenda Morogoro na...
3 Reactions
4 Replies
696 Views
Sijawahi kuona watu wenye roho mbaya, husda, wivu, chuki, kukosa ustaarabu na wakatili kama fulani hapo kanda ya ziwa kuna kabila moja maarufu sana Tanzania linasema lina watu wengi sana Tanzania...
7 Reactions
63 Replies
3K Views
Yaani kwa kifupi ubadilishe identity yako kukuhusu na uanze upya maisha yako peacefully ila ni jambo lisilowezekana.
11 Reactions
39 Replies
1K Views
Anonymous
Habari watanzania, shukrani za dhati ni kwa Mungu mwenyezi kwa kutupenda upeo hata akamtoa mwana wake wa pekee ili atukomboe kwa wale watakao muamini (yohan 3;16) Niende moja kwa moja kwenye hoja...
0 Reactions
4 Replies
324 Views
Yaani mazee, hii ishu ya FIC FOOTBALL INVESTMENT ni kama sinema ya ki-HOLLYWOOD lakini ya kibongo – ile ya kina scammers wakivaa suti, wanakuja na maneno matamu, wanakuchanganya hadi unawekeza...
0 Reactions
4 Replies
496 Views
Katika harakati za kutafuta maisha niliamua kwenda kusaka maisha kanda ya ziwa,sitataja mkoa. 1. Mtu akifa katika eneo lenu kuna mtu anapita na spika kuwatangazia,kuna daftari la wananzengo...
45 Reactions
160 Replies
8K Views
Kwa mliotuma maombi ya ukazi wa kudumu marekani vp matokeo yenu , je Kuna aliebahatika ili mtupe hamasa na sisi ndugu zenu tujaribu bahati
0 Reactions
0 Replies
228 Views
🌍 Tajiri Elon musk anasema kama Kuna mtu anafikiri haiwezekani kwenda kuishi kwenye Sayari ya Mars shauri yao lakini lazima lengo litimie twende tukatengeneze makazi huko. 💡 𝙀𝙡𝙤𝙣 𝙢𝙪𝙨𝙠 𝙖𝙣𝙖𝙖𝙢𝙞𝙣𝙞...
0 Reactions
16 Replies
828 Views
Wanabodi heshima kwenu, heri ya mwaka mpya. Mwaka uliopita katika harakati za kusaka ndururu nikapata mchongo wa kwenda mkoa wa Katavi wilaya ya Tanganyika,tarafa ya Karema Kijiji cha Ikola...
14 Reactions
163 Replies
31K Views
Salaam: Nategemea kuelekea wilaya ya Tanganyika mkoa wa katavi base mpya kijiji cha Ikola. Naomba kujua taarifa zifuatazo. 1. Upatikanaji wa ardhi kubwa za kilimo 2. Ni maeneo gani...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wana jukwaa, Naomba kwa mwenye uzoefu na hizi manispaa mbili, Kahama na Morogoro, wapi panafaa kuishi kwa mtu anaeanza maisha mwenye kipato cha kati? Yaani mtumishi wa serikali.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Naomben wadau ambao mshawahi fika katavi tujuzane je panafaa kwenda kuparangana kutafuta maisha Kwa mtu wa hali chini mwenye mtaji chini ya milion? Je Morogoro na Katavi wako pako vizuri zaid ki...
5 Reactions
152 Replies
36K Views
Nimeacha kwenda makanisani na misikitini kwa mungu wa warabu na wazungu bali sitapoteza imani yangu kwa Mungu wa kweli wa WAAFRIKA na AFRIKA nzima. WAAFRIKA TUAMKE NA TUJITAMBUE
6 Reactions
62 Replies
2K Views
Back
Top Bottom