Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) inashiriki maonesho ya Wiki ya Afya Zanzibar yaliyoanza Mei 4,na yatafikia tamati Mei 10, 2025 katika Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar...
1 Reactions
0 Replies
333 Views
Benki kuu ya Tanzania ilisema katika taarifa yake Ijumaa jioni kwamba imepiga marufuku matumizi ya fedha za kigeni kwa miamala na malipo ya ndani. Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imesema kwa mujibu...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Waziri Bashungwa tukueleweje? Unakuwa Mkali kwa Waraka unaodaiwa Feki wa TEC, ila hujaonekana hata ukiwa na Uchungu kwa Kujeruhiwa kwa Fr. Dkt. Kitima Kwahiyo ndiyo kusema kuwa Kwako Wewe Waraka...
6 Reactions
13 Replies
961 Views
Wakuu, Mnakumbuka ile story ya wale vijana watano waliotekwa Desemba 2021 kule Kariakoo. Hivi karibuni wazazi wa vijana hao wamejitokeza tena kuomba msaada kwani mpaka sasa hakuna kitu...
1 Reactions
50 Replies
2K Views
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania - TRC ndugu Masanja Kungu Kadogosa amesema kuwa TRC imeweza kusafirisha zaidi ya abiria milioni 2.3 tangu kuanzishwa kwa uendeshaji wa treni ya SGR June...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Wakuu, Katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi), yaliyofanyika kitaifa mwaka huu mkoani Singida, ujumbe uliobebwa na mabango ya wafanyakazi kutoka Chama cha...
0 Reactions
2 Replies
423 Views
Katibu Mkuu wa TEC Padri ametoa rai kwa mamlaka za juu kuacha kuigilia mamlaka za chini hususani katika mchakato wa kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa na Vijiji. Amesema katika Chaguzi za...
17 Reactions
67 Replies
4K Views
Jumla ya Wanafunzi wapatao 114 wa Shule ya Msingi FEZA ya jijini Dar Es Salam walioambatana na walimu wao 12, Mei 3, 2025 walitembelea Ofisi za Wizara Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma ambapo...
0 Reactions
12 Replies
653 Views
Tena mzee Kingunge akawa ndiye Kiongozi wa Chama cha Waganga wa Kienyeji Tanzania hawa akina Mshana Jr Wakati wa kuapa alishika Katiba tu na mkono mmoja akaunyoosha juu Ila alipendendelea sana...
6 Reactions
38 Replies
1K Views
Wakuu nimeona mtandaoni jambo la kushangaza kidogo nikaona niwashirikishe ili tupeane uzoefu. Majuzi huko Insta niliona body builder mmoja wa Kenya akisema hutumia viagra kabla ya kuingia Gym ili...
1 Reactions
1 Replies
314 Views
Afrika ni tajiri kwa kila namna – lakini umasikini wake ni matokeo ya wasaliti wa ndani wanaouza utu wa bara hili kwa maslahi yao binafsi. Ni jukumu la vijana kuamka, kuungana, na kuchukua nafasi...
0 Reactions
3 Replies
303 Views
https://www.youtube.com/live/IKo0vWFgOXo?si=VROW5KWJw-PEMKcw Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC), leo Mei 5, 2025 kimezindua ripoti ya hali ya haki za binadamu nchini kwa mwaka...
1 Reactions
6 Replies
829 Views
Hivi haya Matamko ya Kibabe ya Waziri Mchengerwa ndivyo Mawaziri wote wa TAMISEMI wanatakiwa kuyatoa au Yeye ni 'Waziri Special' wa TAMISEMI ya sasa? Naomba niwekewe List hapa ya Mawaziri wa...
3 Reactions
13 Replies
915 Views
Huwa nacheka sana watu wanavyosemaga hapa mtu mweusi ndio Daraja la chini na kujizarau hahaha aisee sijui kama mnawajua wahindi nyie siku mkiwajua tabia za wahindi ndio mtaomba samahani na kujipa...
5 Reactions
2 Replies
415 Views
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeamua kuwekeza kwenye sekta ya madini ili kuwawezesha wachimbaji...
0 Reactions
0 Replies
222 Views
“Mikutano hii tunayoiona ni namna Rais alivyoamua kutekeleza Diplomasia na Rais alisema anataka kuifungua nchi na moja ya namna ya kuifungua nchi ni pamoja na mikutano hii. Na mikutano mikubwa...
0 Reactions
2 Replies
371 Views
  • Closed
Saalam! Mimi binafsi sijawahi husikia kuna sheihk mwenye bachelor degree, masters au hata phd kama ilivyo upande wa maaskofu wa madhehebu mbalimbali. Sasa pengine mimi ndiye sijui au niko nyuma...
18 Reactions
256 Replies
9K Views
Serikali imeongeza vituo vya ununuzi wa madini kutoka 102 mwaka 2023/2024 hadi kufikia 109 mwaka 2024/2025. Kupitia masoko 43 na vituo vya ununuzi 109 kulifanyika biashara ya madini yenye thamani...
0 Reactions
1 Replies
368 Views
Naandika andiko hili nikiwa na uchungu sana na hili jambo.Awali hili kundi lilianza kimasihara tu kama vijana wanaojihusisha na uchezaji wa kamari wao kwa wao.Pengine baada ya kuona malengo yao...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Let me set the record straight. Hii siyo brag, hii ni reality check kwa wote mnaopenda kupima mafanikio kwa vioja vya kijiweni. Sisi Wachaga tuko juu bro, juu hadi ceiling ya private jet...
3 Reactions
5 Replies
570 Views
Back
Top Bottom