Kuna Mafua makali na kikohozi tuwe makini

Kuna Mafua makali na kikohozi tuwe makini

Mshuza2

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Posts
11,568
Reaction score
17,987
Kuna kama upepo hivi sio mzuri..nimekutana na cases nyingi za Watu wakilalamika kuumwa kifua na mafua.

Watu wanaumwa sana,binafsi Leo siku ya tano ndio kidogo nahisi nafuu ila hali ni mbaya..

Kikohozi kikali na mafua..isije ikawa mzigo ndio wenyewe kama kipindi kile..

Kwenu studio..
 
Nina mafua na kikohozi kikali kwa zaidi ya wiki tatu sasa. Nilipewa dawa zimeshindwa kazi dozi mbili tofauti. Nimeanza kujifunika kwenye mvuke nikapata nafuu ila pua haziachii.

Characterized by heavy mucus kwa siku nyingi, na sijamuambukiza mtu kwa wote ninaokaa nao karibu kasoro ofisa mmoja nilienda ofisini kwake naye kaumwa wiki ya pili sasa madawa yameshindwa.
 
Nimepona week yalinilaza kwa bed.nilikuwa najifukiza majani(mpera,mchaichai,mparachichi,muembe,mlimao,mchungwa,mgomba) + nilikunywa dawa ororda,Pilton + panadol.

Kwani nilipoteza uwezo wa unusable,kuhisi Radha na maumivu ya macho nilipata,.

Nikawa na jifukiza asubuhi na jioni.ahsante nimepona nko vizuri.ila wengine kwenye familia wamepata hyo shida,wanaendelea na zoezi.
 
Kabla ya kulala kula mbegu tano hadi kumi za vitunguu swaumu viponde au tafuna kisha meza na maji vuguvugu kila siku. Asubuhi pata chai ya mchaichai yenye tangawizi. Mafua na kikohozi utayasikia kwa jirani au yakikupata hayatakusumbua sana.
 
Nina mafua na kikohozi kikali kwa zaidi ya wiki tatu sasa. Nilipewa dawa zimeshindwa kazi dozi mbili tofauti. Nimeanza kujifunika kwenye mvuke nikapata nafuu ila pua haziachii.

Characterized by heavy mucus kwa siku nyingi, na sijamuambukiza mtu kwa wote ninaokaa nao karibu kasoro ofisa mmoja nilienda ofisini kwake naye kaumwa wiki ya pili sasa madawa yameshindwa.
mie mwili uko hoi kama nilipigwa pamoja na mdude, jamani hii ni corona
 
Nimeumwa saaana!

Hata pamoja na kumeza dawa ilikuwa bado ni nzito kwangu
 
Back
Top Bottom