Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kampuni ya Airplanes Africa Limited (AAL) yenye makao yake Morogoro, imetangaza kuanza safari za ndege tatu za kwanza zilizotengenezwa Tanzania, aina ya Skyleader 600. Mkurugenzi wa AAL, Bw. David...
20 Reactions
170 Replies
8K Views
Wakati Marekani ikiendelea na mashambulizi dhidi ya biashara huria duniani, Afrika iko ni mmoja wa wahanga. Na sasa Rais Donald Trump wa Marekani amefungua medani ya kidiplomasia tena ambapo...
0 Reactions
1 Replies
288 Views
Wakuu. Leo ngoja nije niwape pole mama zetu, dada zetu na wadogo zetu wa kike wanaopitia changamoto za uzazi. Hauwezi amini ila amini amini nakuambieni maumivu ya mwanamke ya kuishi bila kua na...
2 Reactions
6 Replies
443 Views
Wakati dunia inaendelea kutafakari mantiki ya hatua zinazochukuliwa na serikali ya Marekani kuongeza ushuru wa bidhaa kutoka nje, kauli zinazotolewa na Rais Trump kuwa Marekani “imeibiwa, imeporwa...
0 Reactions
0 Replies
239 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mabasi ya Mwendokasi (UDART), Waziri Kindamba amesema mwendokasi iligeuka kuwa mwendohasira na kwamba hatua zimechukuliwa mabasi mapya ya kisasa 99 yatawasili...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
UZI MAALUM Ikiwa taifa lolote litaingia kwenye machafuko (vita au mapigano ya wenyewe kwa wenyewe) kwasababu ya siasa, dini, makabila, n.k - yafuatayo ni baadhi ya matokeo ambayo yanaliandama...
1 Reactions
12 Replies
547 Views
MADHARA YAKUTUMIA P2 mara kwa mara Dr mwasola ✏️ P2. Emmergency Contraceptive Pills' ni vidonge maalum vinavyotengenezwa kwa lengo la kutumika kwa dharura kuzuwia mimba isiyotarajiwa ✍️P2 ni...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu natafuta sana takwimu za vitongoji visivyo na umeme mtwara na Lindi. Nahitaji sana hizi taarifa kwa ajili ya matumizi fulani ya kitaaluma. Nilikuwa nahitaji walau majina au source nayoweza...
1 Reactions
10 Replies
489 Views
Mnisaidie kwa hili, sahivi nchi nyingi zina mafuta hata hawajui wayapeleke wapi Na nchi nyingi wanazidi kugundua mafuta kila uchwao Na nchi nyingi mafuta yameshuka bei sana Hapa kwetu bei...
5 Reactions
21 Replies
860 Views
-Una Furaha, -Huzuni -Amani ya moyo -Unafurahia maisha -Umevurugwa kwa sababu ya ugumu wa maisha -Unateswa/ kufurahia mapenzi -Madeni -Magonjwa -Migogoro nk -Huna kazi -Kipato kidogo nk...
14 Reactions
72 Replies
2K Views
Sasa kama mnajua Kuzungumza Kiingereza kwani huwa hamkizungumzi moja kwa moja badala yake mkikwama katika Mahojiano yenu huwa mnarejea katika kuzungumza Lugha ya Kiswahili ambayo naamini ndiyo...
0 Reactions
1 Replies
388 Views
Jeshi la polisi linapaswa kutambua na kuheshimu vyama vyote vya siasa nchini kama ni vyama vinavyounda sura ya uongozi wa nchi yetu bila upendeleo wala ubaguzi haijalishi chama flani kipo...
2 Reactions
2 Replies
245 Views
Kwanini Rais Mstaafu Kikwete na Mkewe Salma walipomaliza tu Kuaga Mwili Watoto wawili wa Kike wa Hayati Mzee Msuya waliangaliana na kama vile walikuwa na lao jambo au labda kuna ambalo linaendelea...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari Zenu wakuu. Nimekuja Iringa mara moja kikazi, sasa usiku wa kuamkia leo mwili ni kama ulibadilika nikapata kitu kama homa kali sana, ilikua ni kama saa 9 usiku hivi nikasema ngoja...
3 Reactions
11 Replies
838 Views
Serikali imesaini mkataba wa ujenzi wa Daraja la Jangwani lenye urefu wa mita 390 na barabara za maungio zenye urefu wa mita 700 katika barabara ya Fire - Ubungo kwa gharama ya Shilingi Bilioni...
11 Reactions
57 Replies
32K Views
Namiini Shetani hajiiti shetani kama tunavyomuita huku, anajiita lucifer ingawa ana matendo ya kishetani. Ni kwa kiasi gani mwanadamu ni mnafiki? Sometimes tuna stahili yanayotukuta kwa maana...
2 Reactions
0 Replies
242 Views
Ukiziangalia Ulaya, Marekani, India, China, Korea, Vietnam, Uarabuni ni jamii ambazo kwa kiasi kikubwa zimekuwa na tamaduni zao za dini kwa karne nyingi zimefanikiwa sana tofauti na wengine...
1 Reactions
1 Replies
279 Views
Kila nikiwa idle akili yangu huwa inanipeleka kufikiria vitu ambavyo hata mimi nashangazwa navyo lakini kwa hili,, nmeona bora nililete tufikirie wote🫠
4 Reactions
51 Replies
2K Views
Wakati familia mbalimbali za jamii flani zinapokuwa kwenye misururu ya foleni ya kwenda vijijini kwao unajua sikukuu za mwisho wa mwaka zimekaribia, watu hao hutoka kila kona ya dunia kusherehekea...
3 Reactions
10 Replies
606 Views
Habari wakuu! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, sababu yenyewe ni kutokubali kukosolewa. kukosolewa ni kuoneshwa makosa unayoyafanya yaani kuoneshwa mapungufu yako. Watu wengi hawapendi...
5 Reactions
12 Replies
547 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…