LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 29,904
- 47,531
Hawa Red Cross wako dodoma kwenye event yao. Wanajitapa kutoa huduma kwa watu. Sasa mbona ukipeleka mgonjwa hospitalini mwenye uhitaji wa kuongezewa damu utalipia huduma hiyo wakati damu wanaikusanya bure mitaani, makanisani, masokoni na kwenye makundi fulani ya watu wenye uwezo wa kutolewa damu? Damu wanapata bure halafu hospitalini inauzwa, how come?