Mkanganyiko kati ya red cross na red crescent

Mkanganyiko kati ya red cross na red crescent

LOTH HEMA

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2015
Posts
28,687
Reaction score
45,083
Wajuvu wa mambo, hivi kuna utofauti na ufanano gani kati ya red cross na red crescent?

Kuna magari yana msalaba mwekundi na mengine huwa na msalaba wa kijani ila hakuna green cross society wala green crescent kama ilivyo red crescent yaani hilari nyekundu tunayoiona sambamba na msalaba mwekundu.
 
Back
Top Bottom