MOJA YA WATU UNAOTAKIWA KUWAEPUKA NI WALE WANAOPENDA KUKUTAJIA MAKOSA NA AIBU ULIZOZIFANYA WAKATI ULIOPITA. WENYE CHUKI NA WEWE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Ni kweli unahitaji watu katika...
Mawakili wanaomuwakilisha Tundu Lissu wakiongozwa na Wakili Jebra Kambore, Dickinson Matata wanazungumza na waandishi wa habari Mei 14, 2025.
Itakumbukwa mteja wao Tundu Lissu anakabiliwa na Kesi...
Afrika ni bara lenye vijana wengi zaidi duniani, huku zaidi ya 60% ya watu wake wakiwa chini ya miaka 25 (UN, 2023). Naija inaongoza, 56.9% ya watu wake wana umri chini ya miaka 18, ikifuatiwa na...
Kwa mfano labda wakipanga Njama zao za ama Kukujeruhi au Kukumaliza (Kukuua) na wakakukosakosa jitahidi sana kama ukipata Msaada wa haraka wa Kukimbizwa Hospitalini kwa Matibabu basi jitajhidi mno...
1.mbeya
najuta sana huu mkoa …biashara ya nyumba kupangisha au kuuza hapa hamna kabisa .Usije wekeza huku labda ujenge frame mwanjelwa na kabwe nje na hapo tusilaumiane
2.Iringa
huku nako biashara...
Aje
Je Waafrika tumekurupukia mambo au nasi tunapaswa
Ukiangalia nchi za wenzetu masuala ya burudani kama vile muziki, mipira na mengineyo yalianza kuwa na nafasi kubwa kwao baada kupiga hatua...
Rais wa Jamhuri ya Finland, Alexander Stubb, anatarajia kufanya Ziara ya Kitaifa nchini Tanzania kuanzia tarehe 14 hadi 16 Mei, 2025 kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe...
Magereza,police na vyombo vingine vya ulinzi na usalama vina ngazi kutokea ya kitaifa mpaka ya kiwilaya,mfano polisi kuna uongozi ngazi ya mkoa na ngazi ya wilaya na magereza hivyo hivyo.Je...
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Sana Jude Thaddeus Ruwa’ichi ametangaza kwamba kutokana na changamoto zilizopo katika eneo la Gezaulole ikiwemo maji kutuwama, mchakato...
Mama zetu walikuwa atleast kila wiki lazima watulishe makande, yaliyowekwa magadi ya kienyeji, wakiyaombea kwa siri yaende kuwaondoshea wanawe mokosi, kijicho na bahati mbaya, na ilibidi wapike...
Ukiachana na sauti yake nzuri ya kiume iliyojaa mamlaka,sura na umbo zuri la kiume Essero Mafuru pia amebarikiwa vitu vingi vya kuvutia ambavyo ni;
*Hekima kama kijukuu cha mfalme Suleiman...
Habari zenu
Kama kichwa cha uzi hapo juu : Hawa wanaolia kwenye msiba ni unafiki au wanajidanganya ..Simply, ni ujinga tu kama unajua kila binadamu atakufa kwa nn unalia na ukizaa watoto...
Kama ilivyo ada Waswalihi walisema kufa kufaana. Baada ya Mwendazake Mzee wa Macha ranga..(Mzangi zangi) Nafasi ipo wazi.. Watajwa hapo juu ndiyo walikuwa karibu naye kuka ribiana
Wasifu.. Je Kuna...
wakuu hizi kazi za kuajiriwa hasa private naona kuna dalili ya exploitation, mwanzo nilikua naamka sa 1 naenda kazini hivi sasa naamka sa 10 kuwahi kuamka na dereva linapoanzia safari, huku joto...
Ndugu Watanzania wenzangu,
Kwa moyo mzito, tunaleta kwenu kilio cha wapangaji wa muda mrefu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) walioko katika Kiwanja Na. 8/II, Uhuru, Iringa. Baada ya kuishi kwa...
Kumekuwa na kanuni nyingi zinazoelezea ulimwengu wetu jinsi ulivyo umbwa ikiwemo kanuni hii maarufu ya wanasayansi wakubwa "0123" huku "0" ya kanuni hii ikieleza au ikiwakilisha "utupu" yani...
NAMNA YA KUSHINDA MIJADALA YA MTANDAONI!!
Ghadhabu imepanda, joto limekuwa kali sana baada ya kuona Mtu fulani akipingana na mawazo yako ama kupost jambo usilopenda mtandaoni linalopinga mtazamo...