LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,727
- 13,466
Nimeona habari kwa millard ayo wafanyakazi wa ndani huko saudi arabia wanataabika kuuliwa hadi kubakwa nimejiuliza mtu aliyeleta Dini inakuwaje Sio mstaharabu?
Ndugu zetu wanaoenda kutafuta maisha huko middle east mtu mweusi anaweza kuwa na amani akishi Israel na wayahudi ila kufanya kazi uarabuni ni risk
Yaani ni kwmba Mwarabu hajawahi kuamini kuwa watu weusi wana haki na ni binadam kama wengine ukitaka kuamini hapa tz ingia kwnye mahusiano na mtoto wa kiarabu alafu tangaza ndoa nae mkiwa Dini moja uone moto watakaokuwashia ndugu zake utakimbia mwenyewe
Naukitaka kuamini Ndugu zetu wenyewe wanawaogopa waarabu waliowaletea Dini wape nafasi ya kazi au nafasi ya kushi kati ya Saudi arabia au Marekani,ujerumani utaona wote wanakimbilia kwa wazungu