Clayton Paul
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 2,294
- 4,891
Pole mliowahi kuumizwa na kujiumiza kwa kupigania MAIGIZO.
Wengi mna vilema vya kudumu wengine hawajulikani walipo na wengine wanafadhiliwa kinyemela wakiigiza kuwa pamoja nanyi.
Poleni kwa kushiriki script za Watu wazima wasio na khaya Wala utu
UMAFIKI NI JAMBO BAYA SANA
"Mguu umehangaika Sasa umekanyaga Nyoka"