Naomba ufafanuzi – alfajiri, asubuhi, mchana, alasiri, jioni, usiku, usiku wa manane | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba ufafanuzi – alfajiri, asubuhi, mchana, alasiri, jioni, usiku, usiku wa manane

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ustaadh, Dec 2, 2010.

 1. Ustaadh

  Ustaadh JF-Expert Member

  #1
  Dec 2, 2010
  Joined: Oct 25, 2009
  Messages: 413
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ni kuanzia saa ngapi hadi saa ngapi kwa nyakati hizo?
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Dec 24, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Kwa uelewa wangu.
  Alfajiri: sa 11 kasoro hadi 12 kasoro
  asubuh: sa 12 hadi sa 5:59
  mchana: sa 6 hadi sa 9 kasoro.
  Alasiri: sa 9 hadi 12 kasoro
  Jioni: sa 12 kamili hadi sa mbili kasoro.
  Usiku unaanzia sa mbili hadi alfajiri ila usiku wa manane ni masaa machache kabla ya alfajiri.
   
 3. B

  Bull JF-Expert Member

  #3
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  1-Alfajir=ukianza sikia adhana asubui hiyo ndiyo alfajiri

  2-asubui=kukianza kupambazuka na jua kutoka

  3-Mchana=baada ya saa sita mchana(yaani kuanzia sala ya Adhuhuri)

  4-Alasir=kuanzia sala ya alasri(saa 10-12

  5-jioni=ni magharibi(saa 12-mpaka kupotea juwa)

  6-Usiku=Baada ya kuingia giza ndio usiku unaanza

  7-usiku wa manane=baada ya saa 6 usiku mpaka alfajiri

  All the best
   
 4. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #4
  Dec 25, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Asante mkuu but kuna sehemu wanaweza kukaa miezi wasione jua.
   
 5. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #5
  Dec 25, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  katikati ya hiyo kasoro na kamili panaitwaje?
   
 6. B

  Bull JF-Expert Member

  #6
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Fuata vipindi vitano vya SWALA, ambapo wataalam wa kiislam wameanzisha pray time, kama vile Europe na nchi nyingine na pia TZ

  Simply futatilia taratibu za swala

  Alfajri, ikiisha time yake ndio inaanza
  Asubui, inapoingia swalat Dhuhri, inaisha inapo anza salat elasri, wakati wa elasri unaisha inapo ingia salat Maghrib
  Usiku unaingia ianzapo salt el-Ishaaa
  Usiku wa manane ni kuanzia kubadilika usiku yaani saa 6 usiku

  Asante mkuu,
   
Loading...