third eye chakra
JF-Expert Member
- Dec 27, 2023
- 918
- 2,160
MUNGU NI NINI?
Zaburi 82:6 “Nilisema, 'Ninyi ni “miungu”
“Nilisema, 'Ninyi ni “miungu”; ninyi nyote ni wana wa Aliye Juu Sana
Yohana 10:34
Yesu akawauliza, “Je, haikuandikwa katika Maandiko yenu ya sheria, 'Nimesema, ninyi ni miungu'?
Sisi ni viumbe Nuru, sisi ni Nuru yenyewe, sisi ni Chanzo, sisi ni mmoja ,sisi ni MUNGU, sisi ni ADAM/ATUM/ATOM.
Sisi sote Kwa pamoja ni KIUMBE MMOJA MKUBWA (MUNGU) hatembei, haendi mbele Wala nyuma Bali yeye ni UFAHAMU (consciousness) mmoja tu yupo tuli/ametulia.
Ukiingia kwenye injili ya Siri iliyofichwa na kutolewa kwenye biblia injili ya Yohana ,utamuona huyo THE ONE ameelezewa kwa uzuri kabisa humo
sheria namba moja Katika sheria za ulimwengu iitwayo "Sheria ya umoja wa uungu inasema
👇👇👇👇👇👇
"kila kitu kimeunganishwa na kitu kingine hivyo hakuna utengano Kwa sababu kila kitu ndani yake kina Chanzo ambacho ni nishati/energy ama Katika Dini huiita " ROHO"