Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Somo letu la leo kwenye elimu za sayansi asili ya mwafrika tutajifunza elimu ya unajimu na nyota kwa kiingereza elimu hii inaitwa astrology. Nyota ni nuru ya mtu ukuu na dira, nyota ni kama...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Kila mwanadamu ana nyota , ndani yake kuna talanta, na hiyo talanta ndiyo Mungu hutaka mtu aitumie ili asiwe maskini na mhitaji. Lakini kama ilivyo ada duniani kuna wachawi ambao huchafua nyota...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Mtu mmoja aliyedaiwa kuwa ni Afisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Derick Derick Junior (36) amefikishwa katika Mahakama ya Kinondoni akikabilia na mashtaka mawili ikiwemo kutishia kwa silaha...
15 Reactions
141 Replies
11K Views
Ngono salama sio kuvaa condom tu. Kumbuka condom itaulinda mwili wako lakini kamwe haiwezi kuilinda roho yako dhidi ya roho na nyota mnazobadilishana mnapofanya ngono. Kabla hujafanya ngono ni...
14 Reactions
21 Replies
1K Views
Wachawi au watu wanaotumia nguvu za asili kwa njia mbaya ya kudhuru watu huwa wakiwanga na kuingia ndani kwenye nyumba za watu wakikuta pesa hata iwe nyingi kiasi gani hawachukui kwanza wachukue...
0 Reactions
0 Replies
326 Views
Wale wote manotaka kujionea chopa kwa karibu hitaji lenu limepata ufumbuzi! Kwa siku 16 mfululizo chopa ya CHAUMU itakuwa hewani kuwaburudisheni nyote! Sikumbuki tarehe, lakini ni kwa siku kumi...
4 Reactions
14 Replies
709 Views
Ccm wapo tayari kufanya lolote lile ili Tu waendelee kubaki , kuteka, kuuwa mtu , kumpoteza mtu na ikiwezekana hata kubaka mtu ili kumdhalilisha na kumtia najisi ili Tu waendelee kubaki...
4 Reactions
9 Replies
522 Views
Wawekezaji katika Sekta ya Madini wamekaribishwa kuwekezwa katika mkoa wa Mtwara kutokana na uwepo wa madini ya aina mbalimbali yakiwemo madini mkakati yanayotumika kwenye shughuli za viwanda...
1 Reactions
0 Replies
294 Views
Ni kweli hamuwezi wote kuwa matajiri. Sisi wengine tunakuwa tuna wawakilisha ninyi ambao bado hamjafanikiwa kuzipata. Utajiri wako uwe wa furaha na amani. Usiibe, Usidhurumu, Usipate kwa Waganga...
33 Reactions
36 Replies
5K Views
Huu ni mstari mrefu wa watu 8000 vijana wa Kenya waliojitokeza kwenye usaili wa kwenda kufanya kazi nchi ya Qatar
3 Reactions
38 Replies
2K Views
habari zenu watanzania? nimerud nilikuwa busy sana na mikutano ya kimataifa USA,UK,Canada, Sweden, Egypt, South AFrica, Nigeria, Russia na France. nashukuru angalau nimerudi kwa week moja hivi...
25 Reactions
54 Replies
6K Views
Huyu ni kijana mdogo dereva wetu hapa ofisini. of course yeye ndo huwa ananiendesha maana alipata mafunzo ya udereva marekani na kuwa anaendesha mabalozi wa marekani n.k sasa tupo naye kazini...
63 Reactions
121 Replies
12K Views
Mwaka fulani Rais wa nchi hii alikuja tembelea moja ya nchi ambazo tuna majumba yetu ya kupumzikia. Akaomba kuonana na Watu wa nchi ambao wapo huko. Actually mimi nina Uraia wa nchi nyingi sana...
10 Reactions
34 Replies
4K Views
Nakumbuka jinsi ambavyo mama alikuwa anatulazimisha kula vyakula mbalimbali na matunda kila wakati. Nilikuwa naona kero sana. asubuhi tu unaangalia menu ya breakfast imejaa hujui ule nini uache...
18 Reactions
59 Replies
7K Views
Kupunguza msongamano mjini nashauri serikali iuze petrol lita moja tsh 5,000. Na pia serikali izingatie sana uingizaji wa magari nchini. Magari ya maana ni kuanzia CC 3000 PLUS angalau ya kuaanzia...
9 Reactions
12 Replies
1K Views
Unaposema wasiojulikana, ni muhimu kuweka maelezo sawa kuwa wasiojulikana kwa nani! Hawawezi kuwa wasiojulikana kwa waliowatuma! Hawawezi kuwa wasiojulikana kwa vyombo vya dola! Vinginevyo...
3 Reactions
4 Replies
469 Views
Pengine ni sababu ya kutumia muda mwingi kuzunguka Duniani. Nchi mbalimbali. Leo nilikuwa naangalia Ramani sijui nchi gani sijafika... Mbinguni tu ndo bado. Nmeshazunguka karibia Dunia nzima...
21 Reactions
44 Replies
4K Views
Jambo moja ambalo huwa linanisikitisha sana ni suala la Watanzania na Ulalamishi. Watanzania wanalalamika sana ila hawachukui hatua . Mimi nlijifunza kuchukua hatua toka nikiwa mdogo. Mzee...
18 Reactions
29 Replies
2K Views
Nimerudi siku chache zilizopita toka UK, nikaenda USA, nikapitia Canada, Egypt, China, Russia, Morocco na Saud Arabia kuna jamaa zangu walinialika kula sikukuu huko. Wadau hivi yale maziwa ya...
30 Reactions
32 Replies
3K Views
Uyu member wa JF ameniahidi kuni WALK maeneo NEW apa Dar es salaam pindi niki arrive Tanzania. Anasema atanipeleka 1. VINGUTINGUTIH 2.KWA MUPALANGEY 3.BOUGOROON QUA MUNIAMAN 4. TAN DALE QUA...
58 Reactions
85 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…