Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna mambo ukiambiwa huwezi kuamini kama yanatokea kwenye nchi iliyobalikiwa madini kama tanzania! Wanafunzi wanasomea madini kwa maana ya (Mineral Processing, mining science na mining...
9 Reactions
20 Replies
1K Views
Mara zote huwa nikiwakandia Hawa jamaa zetu wanaoishi nje ya nchi naonekana (ga) kama si Muungwana lakini ukweli ni kwamba,Hawa jamaa Wana Vichwa vigumu zaidi ya Kamongo ! Ninao jamaa kadhaa...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? This reminded me of James Hadley chase best novel "The way the cookie crumbles".
2 Reactions
8 Replies
445 Views
Ezekiel Malongo is no more... amefariki katika Hospital ya Mwananyamala usiku wa leo kwa Malaria... Nimepokea ujumbe wa Message kutoka kwa staff mwenzie wa TBC FM.
7 Reactions
185 Replies
72K Views
Ndugu zangu wana JF, ukizaliwa wilayani Ngara, Mkoani Kagera ni rahisi sana kutegua kitendawili cha Kwanini Nguruwe hauzwi kwenye minada ya mifugo licha ya kuwa ni mnyama anayefugwa na mwenye...
0 Reactions
2 Replies
630 Views
Katika kitabu cha Yohana 2:1-25 kuna habari ya muujiza alioufanya Yesu wa kubadili maji kuwa divai - wakati wa arusi ya Kana. Hiyo divai aliyotengeneza Yesu, ilikuwa non-alcoholic; haikulewesha...
10 Reactions
119 Replies
5K Views
Kampuni za uchimbaji wa madini ya makaa ya mawe katika Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma zimeendelea kusaidia jamii ambapo wananchi wanaoishi jirani na migodi wameendelea kunufaika na ajira huku...
0 Reactions
3 Replies
584 Views
WANANCHI WA WILAYA YA HANDENI MKOANI TANGA WAIPONGEZA REA KWA USAMBAZAJI WA MITUNGI YA GESI YA KILO SITA KWA BEI YA RUZUKU 📌REA yaendelea na usambazaji wa mitungi ya gesi ya kilo sita kwa bei ya...
0 Reactions
4 Replies
446 Views
Au kwa upande mwingine kama Mama angeolewa na Baba mwingine nisingezaliwa mimi?. Nimetumia neno "kuoa kuolewa" kuilinda staha badala ya neno "kukutana". Huenda ikawa kama swali tusilopaswa...
2 Reactions
21 Replies
971 Views
wanasema tembea ujionee.Ndio maana mkinunua magari used yao kukuta vyakula na vitu vengine ndani ya gari ni kitu cha kawaida. Japani ukinunua kitu chochote mfano chakula basi hakikisha una cha...
3 Reactions
11 Replies
742 Views
Mit 18:12 SUV [12] Kabla ya uharibifu moyo wa mwanadamu hujivuna; Na kabla ya heshima hutangulia unyenyekevu. Sio ajabu kuona mtu aliyefika viwango fulani vya utumishi wake akashuka chini ghafla...
5 Reactions
14 Replies
991 Views
Zab 69:12 SUV [12] Waketio langoni hunisema, Na nyimbo za walevi hunidhihaki. Kusemwa kupo, tena kama ulikuwa hujui ujue Leo, na nikuambie kwamba utasemwa sana, utasemwa na marafiki zako...
2 Reactions
2 Replies
478 Views
Salaam., Walimwengu wanasema "experience is the best teacher" , kiukweli hawakudanganya au kukosea. Kila siku unapoamka unajifunza mapya au una update uliyokuwa unayajua nusu. Muda mwingine...
20 Reactions
71 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Tido Mhando, ameongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, akitangaza kuanzishwa kwa mfumo mpya wa kidigitali wa kupata...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Huyu muda si muda ataanza pigwa mawe au atapatwa na kitu.
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Richa ya kua kuna huduma za PMTCT lakini kuna watoto wengine huwa wanapata maambukizi licha ya kua wamezaliwa kituoni. Hai galantii kwamba kwasababu wazazi wako positive na wanatumia ndio...
5 Reactions
135 Replies
3K Views
Hello, Just want to see the thing about old people sleeping early is true.
0 Reactions
0 Replies
191 Views
Leo nimeisikiliza itoshe kusema iyo nyimbo ni zero kabisa muimbaji angekuwa mchawi angewaroga watesi wake
0 Reactions
7 Replies
562 Views
Katika maisha ya utafutaji na msafiri pia mtoto wa mjini kino ila tuseme ukweli ujui leo ni nani wala kesho ni humu jamiiforum na wafanyakazi wake. Vituo ambavyo nimevitaja sana kwenye kushiriki...
0 Reactions
1 Replies
378 Views
Gari ya Polisi iliyokuwa kwenye msafara wa Naibu Waziri wa Mawasiliano na teknolojia ya Habari, Marryprisca Mahundi ikiwa inanasuliwa baada ya kukwama kwenye tope katika kijiji cha Kimala Misale...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Back
Top Bottom