Somo letu la leo kwenye elimu za sayansi asili ya mwafrika tutajifunza elimu ya unajimu na nyota kwa kiingereza elimu hii inaitwa astrology.
Nyota ni nuru ya mtu ukuu na dira, nyota ni kama...
Kila mwanadamu ana nyota , ndani yake kuna talanta, na hiyo talanta ndiyo Mungu hutaka mtu aitumie ili asiwe maskini na mhitaji.
Lakini kama ilivyo ada duniani kuna wachawi ambao huchafua nyota...
Mtu mmoja aliyedaiwa kuwa ni Afisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Derick Derick Junior (36) amefikishwa katika Mahakama ya Kinondoni akikabilia na mashtaka mawili ikiwemo kutishia kwa silaha...
Ngono salama sio kuvaa condom tu. Kumbuka condom itaulinda mwili wako lakini kamwe haiwezi kuilinda roho yako dhidi ya roho na nyota mnazobadilishana mnapofanya ngono.
Kabla hujafanya ngono ni...
Wachawi au watu wanaotumia nguvu za asili kwa njia mbaya ya kudhuru watu huwa wakiwanga na kuingia ndani kwenye nyumba za watu wakikuta pesa hata iwe nyingi kiasi gani hawachukui kwanza wachukue...
Wale wote manotaka kujionea chopa kwa karibu hitaji lenu limepata ufumbuzi! Kwa siku 16 mfululizo chopa ya CHAUMU itakuwa hewani kuwaburudisheni nyote!
Sikumbuki tarehe, lakini ni kwa siku kumi...
Ccm wapo tayari kufanya lolote lile ili Tu waendelee kubaki , kuteka, kuuwa mtu , kumpoteza mtu na ikiwezekana hata kubaka mtu ili kumdhalilisha na kumtia najisi ili Tu waendelee kubaki...
Wawekezaji katika Sekta ya Madini wamekaribishwa kuwekezwa katika mkoa wa Mtwara kutokana na uwepo wa madini ya aina mbalimbali yakiwemo madini mkakati yanayotumika kwenye shughuli za viwanda...
Ni kweli hamuwezi wote kuwa matajiri. Sisi wengine tunakuwa tuna wawakilisha ninyi ambao bado hamjafanikiwa kuzipata.
Utajiri wako uwe wa furaha na amani. Usiibe, Usidhurumu, Usipate kwa Waganga...
habari zenu watanzania? nimerud nilikuwa busy sana na mikutano ya kimataifa USA,UK,Canada, Sweden, Egypt, South AFrica, Nigeria, Russia na France. nashukuru angalau nimerudi kwa week moja hivi...
Huyu ni kijana mdogo dereva wetu hapa ofisini. of course yeye ndo huwa ananiendesha maana alipata mafunzo ya udereva marekani na kuwa anaendesha mabalozi wa marekani n.k sasa tupo naye kazini...
Mwaka fulani Rais wa nchi hii alikuja tembelea moja ya nchi ambazo tuna majumba yetu ya kupumzikia. Akaomba kuonana na Watu wa nchi ambao wapo huko.
Actually mimi nina Uraia wa nchi nyingi sana...
Nakumbuka jinsi ambavyo mama alikuwa anatulazimisha kula vyakula mbalimbali na matunda kila wakati. Nilikuwa naona kero sana. asubuhi tu unaangalia menu ya breakfast imejaa hujui ule nini uache...
Kupunguza msongamano mjini nashauri serikali iuze petrol lita moja tsh 5,000. Na pia serikali izingatie sana uingizaji wa magari nchini. Magari ya maana ni kuanzia CC 3000 PLUS angalau ya kuaanzia...
Unaposema wasiojulikana, ni muhimu kuweka maelezo sawa kuwa wasiojulikana kwa nani!
Hawawezi kuwa wasiojulikana kwa waliowatuma!
Hawawezi kuwa wasiojulikana kwa vyombo vya dola! Vinginevyo...
Pengine ni sababu ya kutumia muda mwingi kuzunguka Duniani. Nchi mbalimbali. Leo nilikuwa naangalia Ramani sijui nchi gani sijafika... Mbinguni tu ndo bado. Nmeshazunguka karibia Dunia nzima...
Jambo moja ambalo huwa linanisikitisha sana ni suala la Watanzania na Ulalamishi. Watanzania wanalalamika sana ila hawachukui hatua .
Mimi nlijifunza kuchukua hatua toka nikiwa mdogo. Mzee...
Nimerudi siku chache zilizopita toka UK, nikaenda USA, nikapitia Canada, Egypt, China, Russia, Morocco na Saud Arabia kuna jamaa zangu walinialika kula sikukuu huko. Wadau hivi yale maziwa ya...
Uyu member wa JF ameniahidi kuni WALK maeneo NEW apa Dar es salaam pindi niki arrive Tanzania. Anasema atanipeleka
1. VINGUTINGUTIH
2.KWA MUPALANGEY
3.BOUGOROON QUA MUNIAMAN
4. TAN DALE QUA...