Baada ya Kampuni ya Lenovo kuwa ya kwanza kutoa laptop Yenye uwezo wa kujikunja kunja (Foldable), Huawei nao wameleta Laptop yenye kujikunja halafu ni nyembamba kuzidi simu unayomiliki.
Najua...
Kama Li Nchi lenye nguvu kubwa kichumi, kijeshi, kiintelijensia, kijeshi, kidemokrasia nk., "Wahuni" waliweza kumpachika madarakani Rais wa kuiongoza nchi huku wakijua kuwa AFYA yake kiakili na...
Faida za bando kuwa chini ni kubwa sana kuliko kuwa juu
Elimu kubwa sana itatolewa kwa wananchi namna ya kutumia Internet kwa mambo ya msingi na ya kuwafaidisha
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Naomba kujua dini hizi ni dini za wapi? Mbona mpya machoni pangu
Leo watu wa hizi dini walienda pamoja na viongozi wao kujitambulisha kwa...
Habari wakuu!
Kama kichwa cha uzi kinavyojibainisha, kwenye jamii ya leo kumekuwa na mabinti au wanawake wengi wasiotambua thamani yao. Ndo maana leo hii huko mashuleni, vyuoni na makazini...
Shalom!
Kama Kuna mtu amewaloga watanzania hasa wa tabaka la chini naomba awasamehe sana maana wanateseka sana.
1. Juzi baada ya kesi ya Lisu kuahirishwa watanzania wawili (mmoja Mzee mmoja...
Mbona kuna watu wanaeneza chuki ya kidini miongoni mwa watu? Sasa mtu kuvaa kanzu na barakashia kuna muathiri vp mwanafunzi na wale wanaowafundisha? Watu wachache ebu acheni kueneza udini.Unafiki tu
. Hii inaonyeshwa wazi kwa kutumia mifano kama motherland, mother nature, mother tongue, na mother earth—hizi zote ni dhihirisho za nguvu za uzazi na uundaji zinazomilikiwa na kike. Kwa maana hii...
Mkoa wa Lindi unatarajiwa kuwa lango kuu la uchimbaji wa madini kutokana na kuonekana kuwa na aina zaidi ya 10 za madini mbalimbali yanayopatikana kwa wingi ikiwemo madini ya kimkakati kama Kinywe...
NYUMBA YA MKAPA YAGEUZWA KUWA HOTELI?
Nyumba ya Rais mstaafu Benjamin Mkapa iliyopo Obama Drive, Sea View. jijini Dar es Salaam ambayo geti lake huwa linafungwa imeonekana ikiwa geti wazi huku...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi amesema ukosefu wa chombo cha kuwasimamia Madalali katika sekta ya ardhi umekuwa ukisababisha ongezeko la migogoro mingi katika...
Kwema wakuu
Kama title inavyosomeka ningependa kujuzwa, kati ya Mbunge na Mkuu wa wilaya yupi ana mamlaka zaidi ya kiutawala/kiuongozi?
Naelewa mbunge yupo kwenye mhimili wa bunge(legislature)...
Katika historia ya nchi yetu, viongozi wengi wa juu wamekuwa wakitegemea sana ushauri wa watu wa karibu — wasaidizi wao wa kisiasa, wataalamu, na washauri wa kila aina. Ushauri huu unapaswa kuwa...
Kumekuwa na ongezeko la foleni kubwa jijini Dar es Salaam, hasa kwenye barabara za kutoka Mwenge kwenda Tegeta, Mwenge kwenda Buguruni, na Posta kuelekea Mwenge, hasa nyakati za asubuhi na jioni...
Uganda imegundua zaidi ya tani milioni 31 za dhahabu, na wastani wa tani 320,000+ za dhahabu iliyosafishwa zikiwa zimefichwa chini ya ardhi yake..
Kuthaminiwa kwa matone ya taya ya $ 12, ugunduzi...
Hili ni kuhusu kuchaguliwa kwa Papa Leo wa Kumi na Nne, kutoka kwa Jaji mmoja nchini Kenya ambaye si Mkatoliki
Hon. Jaji Aggrey
Kuna aina ya hekima isiyopiga kelele. Haijitafutii umaarufu...
Tanzania imejengwa juu ya misingi thabiti ya amani, umoja, na mshikamano. Hii ndiyo sababu leo tunasafiri, tunasoma, tunafanya biashara, na tunaishi bila hofu ya vita wala machafuko – tofauti na...
Siku za hivi karibuni nimesikia Masheikh mbalimbali na waumini wa kawaida wakiomba dua mbaya dhidi ya watu walio kinyume nao katika upande wa msimamo wa siasa. Ningependa kufahamu kama haya ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.