fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,691
- 9,295
Ni aibu jinsi hii hospitali ilivyo chafu,vyoo hapo pembeni ya mortuary ni vichafu, vibovu, vimevunjika, kuta chafu sana.
Haya hapo mbele ya mortuary umerundikwa uchafu, chupa, sindano zilizotumika, uchafu wa kila nama upo hapo na hakuna juhudi zozote za kusafisha.
Sasa inakuwaje hospitali ndio panakuwa pachafu hivyo? Natumai wahusika wakiona bandiko hilo watafanya usafi, ni aibu na ni hatari kwa afya wagonjwa, wafanyakazi wa hospitali na watu wengine