Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mimi binafsi nimefuatilia nimeamua kuja na Tatu Bora yangu ya Mawaziri Bora kwa mwaka 2020-2025. Hawa jamaa uwa ni wafanya kazi sana na hawana makando kando linapokuja swala la kazi, na hawanaga...
1 Reactions
8 Replies
717 Views
FURSA HAZIDUMU; WEWE NI ASSET. JITUMIE! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Wahenga walisema, liwezekanalo Leo lisingoje Kesho. Wahenga hao! Wakaendelea kusema bahati haiji mara mbili! Unaona...
3 Reactions
9 Replies
614 Views
Mapendo Daima..... Hiki kitu Huwa najiuliza mara nyingi sana Kila akipatikana mtu wa aina hii serikali huwachukua na kwenda nao na Huwa sijui inawapeleka wapi na kamwe Huwa hawarudi maisha Yao...
1 Reactions
4 Replies
434 Views
Wasalaam,kumekua na joto kubwa la kisiasa ndani na nje ya nchi yetu. Amani imetulewesha mpaka hatuoni umuhimu wake. Viongozi wa kidini wamejipenyeza kwenye siasa na wanasiasa wamejipenyeza kwenye...
9 Reactions
57 Replies
2K Views
Wakuu. Nimekuja kwenu hapa wale wenye ujuzi wa leseni za magari nina maswali naomba majibu kupatiwa majibu, najua natakiwa kwenda kuwauliza askari wa barabarani au TRA Tanzania ila sasa naomba...
2 Reactions
23 Replies
6K Views
Naomba ufafanuzi kama ukiwa mtumishi wa Serikali zaidi ya miaka 20 je kama ukifukuzwa kazi kuna mafao yoyote utapata? Au ukiamua kuacha kazi, Je kuna mafao yoyote unaweza kupata? Na je kama una...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
OFISI ya Rais ,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora imewaagiza waajiri wa taasisi za umma kuwarudisha kazini watumishi wanaoshinda mashauri ya rufaa za kinidhamu kadiri ya maelekezo...
2 Reactions
2 Replies
787 Views
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda, amesema mtoto wa waziri au katibu mkuu wa wizara kupata mkopo unaotolewa na...
3 Reactions
1 Replies
397 Views
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umetangaza vifurishi vipya vya bima katika makundi mawili ya Serengeti Afya na Ngorongoro Afya, kifurushi cha chini kikiwa ni Sh. 240,000 na cha juu Sh...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Matumizi ya mifuko ya plastiki inaweza kusababisha madhara yafuatayo; 1.) Kansa za aina mbali mbali - Uchomaji wa mifuko ya plastiki majumbani, mabarabarani, mahospitalini pamoja na kwenye...
43 Reactions
151 Replies
24K Views
Kwa MUJIBU WA takwimu Mbalimbali zilzofanyika 1. Takwimu za Polisi (2015-2023) Kuhusu Mauaji ya Wachawi - Mikoa yenye Wakristo Wengi (Kanda za Ziwa na Nyanda za Juu): - Shinyanga, Mwanza...
10 Reactions
94 Replies
4K Views
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limebainisha kuwa matumizi ya plastiki yameendelea kuwa chanzo kikubwa cha uchafuzi wa mazingira, yakiwa na madhara kwa afya ya...
0 Reactions
3 Replies
754 Views
Nina wasiwasi hawa tunaowapa kazi ya kuchapisha pesa zetu wanachapisha na makontena ya ziada na kuyaingiza kwenye mzunguko kimya kimya. Should i be concerned?
4 Reactions
59 Replies
8K Views
Mimi sio mwanasiasa ila kumekua na mvutano wa kimaneno kwa wanasiasa ila naona Wengi Neno Haki Hawalizungumzi, nawaomba Wenye Mamlaka Tazameni Haki, Palipo na Haki Amani Utamalaki. Pia Punguzeni...
1 Reactions
2 Replies
263 Views
Ukimtoa msomi nguli kutoka Zanzibar, Prof Makame Mbarawa ambaye binafsi namhusudu Hawa wengine naona hamna kitu Kuna wabunge wa Zanzibar wakichanga hoja wanaongea kama laymen tu Wabunge wa...
4 Reactions
52 Replies
2K Views
Linapokuja suala la ukatili, viongozi wa kike wameonesha roho mbaya za waziwazi kabisa! Michango ya wabunge inatia simanzi! Kushangilia utekaji na mauaji ni ishara ya juu kabisa ya uchawi! Kama...
6 Reactions
17 Replies
692 Views
Nina umri wa miaka 38 na katika utu uzima wangu huu sikumbuki kama nilishawai kuota ndoto mbaya na ya ajabu kama niliyoota usiku wa kuamika leo... Katika kumbukumbu zangu za ndoto nimeshawai...
7 Reactions
40 Replies
3K Views
Pepo huyo ndie aliekuwa anaongea kwenye wimbo " Hit Em Up" Kupitia midomo na sauti ya Tupac. Haya si maneno yangu bali nimeyakuta huko TikTok. Mtoa hoja hii anasema yeye ni mtaalamu wa Sayansi...
8 Reactions
383 Replies
12K Views
Katika kitabu che jina kusadikika kulikuwa na utawala ambao mtunzi mwenye maono makubwa ya mbali. Kwenye kitabu cha mfalme juha nacho kina muonesha mtawala aliyekosa maono na kupendwa kusifiwa...
1 Reactions
2 Replies
352 Views
Sikutarajia kabisa kuona Mwanamke asimame kushangilia utekaji na mauaji! Mwanamke halisi anaejua uchungu wa mtoto hawezi kufurahi kuona watu wakiuwawa! Hata kama kuna makosa ndiyo maana kila...
20 Reactions
30 Replies
2K Views
Back
Top Bottom