Watu wengi husafisha nyota ilhali nyota zao zinang’ara. Wengine hudhani nyota zao zimeporwa kumbe wanazo ila zimefifia tu. Kabla hujasafisha au kurejesha nyota, kwanza fanya kipimo.
Faida za...
Naongea kutokana na uzoefu kidogo, nineona kwenye interview vijana wakipanga mistari mirefu kupambania ugali wao, wengine wamekaa mtaani zaidi ya miaka 10, na bado wapo wanapambana kwenye usahili...
Wakili Peter Madeleka leo amezungumza na vyombo vya habari katika viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam – Divisheni ya Ardhi, kuhusu kesi ya wafanyabiashara waliopata hasara...
Mmomonyoko wa maadili kwa kizazi cha leo umekuwa ukienda kwa kasi sana, nahisi itakuwa 10G😄😄.
Jambo hili limekuwa likileta mkanganyiko na kutupiana lawama kwa kila rika. Hebu angalia mitazamo...
Katika jitihada za medical tourism hizi ni baadhi ya complex medical procedure zitakuwa nafuu Tanzania kuliko sehemu yeyote duniani
Bone marrow transplant
Liver resection
Pancreas resection
lung...
Chasimba ni eneo lililopo Boko, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Huko ndiyo kisa kizima kinakoanzia, kuendelea na kumalizikia.
Ilikuwa hivi, mwaka Jana mwezi August kijana wangu alikuwa na...
Mit 19:27 SUV
[27] Mwanangu, acha kusikia mafundisho, Ukitaka tu kuyaasi maneno ya maarifa.
Mtu akitaka kuwa bora kwenye maisha yake, kazi yake, utumishi wake, biashara yake, na kwenye familia...
Mit 23:23 SUV
[23] Inunue kweli, wala usiiuze; Naam, hekima, na mafundisho, na ufahamu.
Kama kuna kitu cha kutafuta kwa bidii ni kweli ya Mungu, hekima yake, mafundisho sahihi, na ufahamu wa...
Nimeangalia clip ZAO mara mbili. Mara ya kwanza nawasikiliza mara ya pili naangalia facial expressions na body languages ZAO huku nimemute sauti. Haya ndio nimegundua.
1: Wanaongea kama watu...
Wadau niko na mattress natak iende tanga niko mombasa vip naweza kusafiri nayoo sio mpya ni ya kitamboo kidogo jeee nafanyajeee ifike tanga nikawape ndugu zangu ni godoro la 5 ×6
SERIKALI imesema mahitaji ya walimu wa masomo ya sayansi na Hisabati ni walimu 47,354, waliopo ni 30,044 na upungufu ni walimu 17,312.
Hayo yameelezwa leo bungeni Mei 29,2025 na Waziri wa Nchi...
Leo jioni niliandika mada kuhusu walimu wa kikenya walivyokuwa wanakunywa nyuka mabel mstarini, lakini cha ajabu naona sijui ni wakenya wameingilia kati ? uzi ume editiwa yaani ili uonekane laini...
Vijana wameombwa kujitafutia kipato kwa njia ya halali ili kuepusha madhara yanayo tokana na wizi kama ambavyo alivyofanya Rajabu Jumanne Mkazi wa kijiji cha Njilii Halmashauri ya Itigi Wilaya ya...
"Elon Musk alijitolea kununua tuzo yangu ya Ballon d'Or yangu kwa $1-bilioni lakini nilikataa ofa hiyo." __ George Weah
Tuzo yangu ya "Ballon d'Or yangu sio tu mafanikio yangu makubwa katika soka...
Ule msemo wa 'ukionja asali utachonga mzinga' umeanza kudhihirika kwa Wa-sauzi waliokatiwa pande kubwa la ardhi na chuo kikuu cha Dar-es-salaam al-maarufu kama 'MLIMANI CITY'.
Hali kadhalika kuna...
Salaam.
Nimejiuliza hili swali kwa muda mrefu na hua nakosa majibu. Huu ukiritimba tumeukuta na hatujawahi jiuliza kwanini tunauendeleza mpaka leo.
unaweza ukakuta jitu lilikua la hovyo sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.