Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Altbert Chalamila amesema Mwenge wa Uhuru 2025 unaokimbizwa katika Mkoa huo kwa umbali wa KM 35.03.
Amesema hayo wakati akipokea Mwenge wa Uhuru, ukitokea Mkoa...
Waziri wa Madini na Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Anthony Mavunde amekabidhi genereta la kisasa kwa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Bunge lengo ikiwa ni kuendelea kuwasaidia wanafunzi hao...
Kazi ya jeshi la polisi ni usalama wa raia na mali zao. Sasa hii kuwakamata mawakala wa forodha wasiovaa sare inahusikaje kwenye majukumu yao? Mbaya zaidi ni raia wa nchi jirani ambayo hiyo sheria...
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha kikuu cha Dar es Salaam UDSM kampasi kuu ya mwalimu Nyerere Dsm.
Kwasasa kuna changamoto ambayo wanafunzi wengi tunaipotia ni ucheleweshwaji wa pesa za...
Shida sio kukaa hivyo mbele ya SSH. Shida ni pale Rais kakaa kwenye kiti chenye mamlaka ya utawala na bendera zote mbili ya Rais na ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania zikiwa nyuma yake alafu mtu...
Kero yangu ipo upande wa kivuko cha KIGONGO - BUSISI, pale nauli ya kivuko kwa abiria mmoja ni 400, lakini ukienda pale wanakata 500, wanaadai hawana chenchi,
Hii inaumiza wananchi sababu bei...
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu ya Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Charles Hilary, amefariki dunia alfajiri ya leo Mei 11, 2025.
Kwa mujibu wa...
Ma IGP wana vimbwaga!. IGP Pundugu alifukuzwa kazi na Nyerere ile issues ya Mwinyi kujiuzulu.
IGP Mahita aliupata u IGP kwa kumpiga mabomu ya machozi Lyatonga Mrema, wakati huo akiwa RPC wa...
Naweza kuamini pesa inaweza kupatikana kwa njia nyeusi na hatarishi kama ujambbazi lakini si nguvu za giza.
Yani utoke tu huko kwa mganga uzikute zimedondoka chumbani kama furushi la magimbi...
Kumekuwapo na kawaida ya baadhi ya wanasiasa wasiokuwa waadilifu kutoa taarifa za uongo kuhusiana na elimu zao kwa sababu zao binafsi.
Mbunge wa Kinondoni Taarifa ya Elimu yake kwenye website ya...
Nina sex partner wangu ambaye tumedumu Kama mwaka hivi. Ni sex partner hatupo kwenye mahusiano, tunazingatia njia salama za kiafya during tendo.
Nimegundua tokea nimekuwa na huyu sex partner...
Habar
Ukiacha itikadi za kidini waarabu wametuzidi mbali sana sisi watu weusi hasa kweny maeneo haya
1.Elimu
2. Maendeleo
3.Uzalendo
4.Uthubutu
5.Teknolojia
6.Sayansi
7.Miundombinu
8.Afya na Tiba...
Mchungaji wa Kanisa la Huduma ya Kristo lililopo Mtaa wa FFU, Kata ya Murieti, Steven Jacob Gumbo (35) ambaye iliripotiwa ametekwa na ‘Watu Wasiojulikana’ Mei 16, 2025 amezungumza na Wanahabri na...
Kuna hizi taasisi zetu kubwa kama TANAPA/NCAA/WMA nk wameboresha mifumo yao na kuhusisha kukusanya taarifa binafsi za MTALII zilizopo kwenye Passport yake kabla hajafika Nchini.
Nafikiri ifike...
Mikono ya kwaheri, huzuni na majonzi vilitawala kutoka kwa waombelezaji katika makaburi ya kwa Kondo, Ununio jijini Dar ea Salaam walipousindikiza mwili wa marehemu Dkt. Mechris Mango, aliyekuwa...
Fanya vyote kosoa, tukana ila usijaribu kumgusa kipenzi cha mama.
Hata utani au mifano hataki
1.Lisu alimwandama Abduli ati alimpelekea furushi la pesa kama hongo, Sasa yupo Ukonga na kesi mbaya...
Haya ni madaraja maarufu duniania
Madaraja kumi marefu yote yako china (hayo tuyaache)
Saudi arabia -Bahran
Hongkong -Macau
lake Pontchartrain causewa-USA-38km
Zanzibar na Dar ni karibu mno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.