Kesi Maarufu ya Binti wa yombo iliyowakuta na hatia Vijana watano Nyundo na Wenzie inatarajiwa kuanzia kusikilizwa siku ya kesho katika kituo jumuishi cha kutoa haki jijini Dododma
Nyundo na...
Viongozi wa Dini ya kiislamu, je ? Ala na mtume Mohamad aliwafundisha kufumbia macho utekaji, uonevu, upotezaji na uuaji wa watu? Dini yenu inabariki haya mambo ya hovyo na kuyaona baraka kwa kuwa...
Hesabu ya Jumla ya Usajili kutoka T100AAA hadi T999EKZ
Tutahesabu jumla ya magari yaliyoandikishwa kutoka T100AAA hadi T999EKZ kwa kuchanganua mfuatano wa herufi na namba.
Hatua ya 1: Kuamua...
Alhaj Mustafa Songambele(aliyelala) akiwa na Waziri Simbachawene
Mwanasiasa mkongwe na miongoni mwa wapigania uhuru wa Tanganyika, Alhaj Mustafa Mohamed Songambele, amefariki dunia usiku wa...
Ni kawaida kwa waafrika walio wengi kipigania kwenda nchi za magharibi kwa gharama kubwa na wakikubaliwa wengine wanafanya sherehe
Mwafrika ni mtu anayependa shortcut ndo moja ya sababu ya nchi...
"Waafrika wengi tumepewa zawadi ya kufikiri, lakini tunaikabidhi kwa viongozi wa dini kama sadaka, kisha tunalalamika tunapopotezwa hata katika mambo yanayohitaji akili tu, si maombi ya kufunga."...
Hadi sasa hela za,matumizi ni Dana Dana leo wiki napika ugali then ule uji nilitumia kusongea ugali ndio nafanya mchuzi WATANZANIA wako na mioyo ya huruma msaada jamani
Dawa yake ishachemka na kuiva anasubiri kunyweshwa tu. Kuna button itabonyezwa soon na kiherehere chake chote kitamuisha.
Niko hapa nimekaa nakunywa zangu Captain Mogan na kitimoto choma.
Huwa nasikia awamu hii imefanya mambo makubwa. Kuna hii barabara inayounganisha bandari ya Dar na mikoa karibu yote nchini, lkn pia nchi jirani zinazotumia bandari yetu.
Cha ajabu ni kwamba...
Tunalipa kodi, tunalipa bili za maji, umeme, nauli na mengine mengi ya maisha , lakini hatujawahi kulipia pumzi.
Tunapata aleji ya vyakula, mafuta, dawa, na hata vumbi , lakini hakuna binadamu...
Yaani mpaka ofisini unakosa raha, unajikuta ni outsider (mtu wa nje), mpaka inafikia kipindi ofisini wanaongea kilugha chao, na hujui wanachozungumza.
Kwenye ajira wakijua kuna mtu wao watambeba...
Wakati hauna kitu, utajua nani anakuheshimu kwa dhati na nani anakutazama kama taka. Kuna dharau huzipati kwa sababu umefanya makosa — unazipata kwa sababu hauna uwezo. Watu hawasemi, lakini...
Habari ndugu zangu, ninaomba kuuliza ,ofisi ya mpiga chapa mkuu wa serikali nimeambiwa ipo Dar na Dodoma.Kwa upande wa Dar ipo maeneo gani tafadhali? Nitashukuru kwa majibu yenu.
Wanaofanya kazi Ofisi ya Waziri Mkuu, Makamu wa Rais , Ofisi ya Rais wanabidi wawe na vigezo gani au elimu gani? ajira zao zipoje?
Elimu yao au taaluma zao?
Ajira wanaombea wapi?
Karibuni...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com anayetambulika kwa jina la Mkumbwa Jr kulalamikia huduma ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) upande wa Dodoma kuwa siyo nzuri, mamlaka...
🚨Shirika la ndege la gharama nafuu kutoka Ireland, Ryanair, limeibuka na wazo jipya la kupunguza zaidi nauli za ndege: kuondoa viti kwenye baadhi ya safari zake.
Mpango huu unalenga kuanzisha...
MRADI WA TACTIC KUBORESHA MAZINGIRA YA UFANYAJI BIASHARA MANISPAA YA SINGIDA
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba (Mb) amesema kukamilika kwa utekelezaji wa miradi ya...
Kwa nini aliyeachichwa kazi kwa makosa awe hastahili kulipwa mafao ya uzeeni. Wakati anachangia miaka kumi na Tano(15)ambayo ni sawa na miezi mia Moja na themanini(180)?
Na huyu wa kuachishwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.