Watu wanalewa
Wengine nusu uchi
Dj anapoga nyimbo za dini sio sawa
Imagine sehemu Kama kidimbwi zinapigwa nyimbo za dini duh!!
Halafu leo ijumaa inachomwa kitimoto sio poa
Habari wakuu!
This is a lateral thinking question!(picha kutoka mtandaoni; chanzo stock photos)
Ikitokea umefukuzwa kazi ghafla, au umefilisika ghafla ! Plan B yako ya kunyanyuka tena kiuchumi...
• Mhadhara (80)✍️
Kule jijini Tanga (tena katikati ya jiji) ifikapo kuanzia saa tatu na nusu (21:30 Hrs) usiku hakuna usafiri wa daladala, bodaboda, wala bajaj licha ya kuwa abiria wanakuwepo...
Kuoa katika jamii za hao waswahili kuna faida sawa ila pia zina vituko vingi saana visio kua na mantiki.
Liko hivi mke angu wana nyumba Tanga mjini walio lithishwa na mama yao mzazi kutoka kwa...
Na mara nyingi baba akiongeza mke ndio anahamishia kambi mazima huko.
mke wa pili na watoto wake ndio wanapewa kipaumbele, wale wa mke wakwanza hupewa kisogo, baba anaona ni kama alikosea kuoa...
Na mimi nililelewa kwa staili hii lakini nilipokuja kuona tunaishi tofauti na jamii nilimkaidi mzee na ndio ponea yangu, (nilishaweka uzi huu).
Ipo hivi yani, Mzee ni mtu ambae alikuwa anatulea...
Naandika katika roho na mwenye macho ya kijasusi katika roho ashauri kiti kikae mbali na huyu anaitwa Askofu Gwajima..
Huyu ana secret code ukimuuwa au kumfanya chochote code nyingine inakuwa...
Moja ya vitu ninajivunia hapa duniani ni watu. Nina marafiki kadhaa ambao kwakweli tunarahisishiana maisha kwa kiasi kikubwa. Ni marafiki tuliojuana kwa miaka kadhaa na tunapigana tafu. Si urafiki...
1. Background za maisha tofauti - mtu unakuta ni tajiri ama anajiweza kiuchumi, ni maarufu, katokea familia ya wazito, nk. anakwepa machawa na wapambe wasio na urafiki naye bali unafki, mtu huyo...
Nimejaribu kupitia comments katika mtandao wa Instagram nimeona kwenye kila post za watu maarufu na vyombo vya habari mbalimbali huwezi kukosa comment ya #NoReformNoElection najiuliza kwanini ? 🤔...
UTANGULIZI:
Anunaki (ANUNNAKI) ni jina linalotokana na maandiko ya kale ya Sumeria, Akkadia, Ashuru na Babeli (eneo la Mesopotamia ya kale—leo ni Iraq).
Hawa Anunaki walikuwa miungu katika imani...
Ukweli hauna dini, hauna taifa, hauna rangi, na hauna mipaka. Ukweli ni nuru inayovuka vizuizi vyote vya kibinadamu, ikiwa wazi kwa wale wenye macho ya kuona na masikio ya kusikia.
Binadamu...
Habari wakuu.. niko na shida ya Box flan ivi. Ni box ambazo zinatumika kufungia apple.. zinakuwa na layer 2 ndani na nje pia zinakuwa na matundu matundu flan.
Wale wasambazaji wa Ma apple...
Biblia imasema watu wanapomokea Yesu wanafanyika KUWA watoto wa Mungu.
Wale waliowaongoza kumjua Yesu KWA KUWA wamewatangulia kwenye imani watakuwa Kaka ZAO sio Baba.
Kwa hiyo napendekeza...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 06 Juni, 2025 amemkabidhi Mkuu wa Majeshi wa kwanza mstaafu Jenerali Mirisho Sam Hagai Sarakikya gari jipya la...
Nimekuja sehemu msibani, nimekaa kwenye kiti, amekuja jamaa ameweka kitu chake kinagusana kabisa na kiti changu, huku mabega yake yakikutana na yangu.
Nikakausha, sasa jamaa anapiga story...
#rent
#STAND_ALONE HOUSE
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI- MBEZI BEACH UPANDE WA CHINI
———————————————————
KODI USD 1300$/=KWA MWEZI
________________
MALIPO YA MIEZI 6
————-
IKO PEKE YAKE...
Mambo yanazidi kuchemka!
Huwezi ng'oa meno yote kisa jino Moja linauma.
Huwezi kufunga msikiti kisa sheikhe amefanya uhalifu.
Huwezi kufunga Kanisa kisa mchungaji mmoja amelumbana na serikali...
Naam ni msoto baada ya kupoteza muelekeo kwa miaka kadhaa.
Kila kitu kilikwama kuharibika na kuchakaa.
Nguo viatu vyote viliisha yaani kuna mashati yalichakaa mpaka yakawa kama neti.
Habari ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.