Samson Ernest
JF-Expert Member
- Aug 28, 2014
- 1,228
- 1,733
Ukifuatilia waumini wengi wanapenda kweli kusoma biblia na kutafakari, na wanaposoma wanapenda kuelewa kile wanasoma.
Kutokana na dhana nyingi walizojazwa ndani yao, wapo wanaishia kuona usomaji wa biblia na kutafakari hauwezekani kwao.
Wapo wanaona jambo hilo ni la watu maalumu walio na upendeleo maalumu wa ki-Mungu, ila ndani yao wanatamani wawe miongoni mwa wasomaji wa biblia.
Kuna taratibu nyingi za usomaji wa biblia zimeanzishwa, zipo ratiba za usomaji wa biblia kwa mwaka mzima, miongozo hii imezaa matunda kwa watu wachache na wengi wanaishia njiani.
Baada ya mahangaiko ya muda mrefu, tuliona usomaji wa sura moja kwa siku na kutafakari ni utaratibu bora kabisa ambao mtu anaweza kwenda nao maisha yake yote.
Kundi la Chapeo ya wokovu limekuwa na utaratibu huu kwa miaka 10 sasa, tumeona watu wakifanikiwa katika hili.
Kila siku unasoma sura moja ya kitabu husika mpaka unamaliza, sio hivyo tu unapata ufafanuzi wa sura husika, unakuwa na muda wa kusoma na kutafakari.
Tafakari yako huishii kuiona mwenyewe, lazima uandike na kushirikisha wenzako katika kundi, utaratibu huu umezaa matunda mengi sana.
Najua unapenda neno la MUNGU liwe kwa wingi ndani yako, uwe mwamini mwenye neno la kutosha, uwe na ujasiri na kuzielewa ahadi za MUNGU.
Zaburi 119
11 Moyoni mwangu nimeliweka neno lako, Nisije nikakutenda dhambi.
Unaweza kuwa miongoni mwa wasomaji wa biblia, na ukawa miongoni mwa marafiki wenye bidii ya kusoma biblia kila siku.
Je nia unayo, kama ndio tuma ujumbe wako wenye neno BIBLIA kwa wasap namba +255759808081 utaunganishwa kwenye kundi hili.
Safari ya siku 31 imewezekana, na kwako itawezekana, huhitaji kuwa mjuzi sana, unahitaji uwe na moyo wa kujifunza.
Jumatatu tunaanza safari nyingine katika kitabu kingine, una nafasi ya kufanya maamuzi leo na kuungana na watu wenye kiu ya kujifunza biblia.
Usisubiri kusomewa biblia siku za ibada, unaweza kuanza kuisoma mwenyewe kwa utaratibu mzuri ukakua kiroho na ukawa msaada kwa wengine.
Soma neno ukue kiroho
Liwe jua iwe mvua soma biblia na kutafakari
Mungu akubariki sana