Kauli aliyotoa Waziri wa Kilimo Hussein Bashe jana Juni 11,2025 Dodoma
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, amesema kuwa Serikali itanunua tani 200,000(Laki mbili) za mbolea ili kuzipeleka katika...
Mungu huwq hashindwi kitu. Hutenda miujiza na anaweza kila jambo.
Hawa wabunge wanaojali maslahi ya CCM kuliko maslahi ya wananchi hawafai kurudi bungeni.
90% ya wabunge walipita 2020 kwa...
Siku hizi hata ukitaka kurudisha laini haikubali eti kisa sijachukua kitambulisho cha NIDA wakati namba ninayo hii sio sawa kabisa
Binadamu huwa tunahama sehemu moja kwenda sehemu nyingine sasa...
Sijui ule mwanga ulikuwa na ishara ya nini kwa anaejua maana lilikuwa jua kali lilowaka wa muda wa dakika 10 mpk 15.
Nina imani wakazi wengi wa Dar es Salaam wameuona
======
TAARIFA KWA UMMA...
Awamu ya tatu na nne vijana wengi walihamasika kuingia upinzani na ilionekana ni kitendo cha kishujaa huku wakiungwa mkono na familia zao.
hali imekua tofauti kwa vipindi vya awamu mbili za hivi...
Hii ni barabara ya Njombe Songea, upana wake hata barabara za mataani zina nafuu. Kila siku tunalalamika ajali, ila kwa wembamba huu wa barabara lazima tuendelee kufa tu.
Sasa sijajua kwa...
Wakisali ni makelele makubwa sana, mpaka unashangaa, hivi haiwezekani wakiomba waombe kwa Sauti za kawaida tu na sio kupayukapayuka?
Wakianza kuabudu sasa, muziki utawekwa full blast, buzuki...
Kwa Jeshi la Polisi Tanzania ungesikia habari za kufabricate tu, ilimuladi kulinda walioua.
Pia soma > Kifo Cha Kutatanisha: Albert Ojwang Afariki Saa Chache Baada ya Kukamatwa kwa Bandiko la X...
Jirani wa kwanza yeye ana shamba lake la mahindi sasa mbwa wake amezaa akawa anasubiri nikienda kazini anakuja kumuazima wife kambwa changu kisa kanabweka anakachukua anaenda nacho shamba kwenda...
Erasto Raphaely Kabupa (50) mkazi wa kijiji cha Igelehedza kata ya Ilembula wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe amedaiwa kufariki Dunia wakati akishiriki tendo la ndoa na mke wa mtu katika nyumba...
Wasalaam!
Wakuu naomba mnipe ufafanuzi kidogo juu ya mawingu ya mvua kwani kila nikijiuliza maswali kadha wa kadha juu ya mawingu sipati majibu.
Yafuatayo ni maswali ambayo huwa najiuliza kuhusu...
Turudi nyuma kuna kampuni ya volkswagen ilikuja tanzania kutaka kuwekeza ila kona kona nyingi na maono ya kisiasa yakaonesha kwenda nchi jirani ambayo rwanda.
Star link ambayo inatumia setelite...
Mara nyingi, tumekuwa tukisikia taasisi za kijamii, wanaharakati, wananchi nk wakiilaani nchi fulani au viongozi wa kisiasa kwa madai kwamba wamekosea au kutenda jambo linalowaletea maumivu...
Pale haki ilipotendeka...askari hasa wa vyeo vya chini,wamejikuta wakipoteza ajira na future yao yote
Hivi umemkamata mtu ukamfikisha kituoni...hajabisha amekiri ukweli...nini huwa kinawapanda...
Aisee hivi inakuwaje ama natakiwa kufanyaje gari yangu ina faini na namba ya leseni iliyomo kwenye faini siijui na sijui imekuwaje mpaka leseni namba hiyo ambayo siijui imeandikiwa faini kwenye...
Kwetu hapa bongo nimeona bado nyuzi jazijatumika kwa ukubwa na upana wake .. Mpaka sasa wanunua nyuzi wengi wamejikita kwenye mavazi kaka
Masweta
Soksi za watoto
Vizibao
Kofia nk
Vikapu
Lakini...
Kule Kenya IGP wao ameomba radhi kwa kutoa taarifa za uongo dhidi ya kifo Cha ojwang' yule kijana pekee kwa baba na mama yake kama nilivyomimi jamani inauma. Sana
Wakenya sjui kama watasamehe...
Salaam, shalom!
Baada ya Mungu kuruhusu mtu kula nyama, alimkataza Kula Damu ya mnyama. Yaani ukichinja myama au ndege, Damu yake hupasi kuitumia Kwa matumizi ya chakula, ni machukizo maana ndani...