Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimetazama kwa watoto wangu nimeogopa. Hiyo ganzi mtoto anachomwa kwenye uume. Je haiwezi mletea madhara kwa uume wake kweli? Mpaka muda huu uume bado umevimba kwa hiyo ganzi na mbele ya uume pale...
3 Reactions
50 Replies
2K Views
Ni kwamba huenda wewe yamekukumba hapo ulipo na wala haujui kama yamekukumba huenda unadhani upo salama kumbe haupo salama mpaka siku ukitaka service ambayo Taasisi itatakiwa kuvuta information...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Ghorofa hili lipo Kariakoo, Jijini Dar es Salaam, Mtaa wa Nyamwezi na Mkunguni tatizo lake ni kuwa kuna mabati wameweka juu kama ya uzio kuzuia vitu vya ujenzi kutoanguka chini ambapo Watu...
1 Reactions
3 Replies
906 Views
Nimeshangazwa sana na uwezo wa kiakili wa Wana jf wakieneza slogan ya no reforms......Sasa unajiuliza Je hizo reforms zinafanyika mtandaoni? Jibu ni hapana reforms zote zinafanyika bungeni Nini...
4 Reactions
160 Replies
4K Views
Familia ya Mtanzania Juma Maganga, aliyehukumiwa kifungo cha miaka 13 nchini Sudan Kusini kwa kosa la kumgonga mwanajeshi hadi kufariki, imeelezea hofu yao juu ya hatma ya ndugu yao huyo endapo...
0 Reactions
2 Replies
464 Views
Watanganyika Sasa wanahitaji msaada wa Kisaikolojia Kwanza nakubali kuwa ushoga ni jambo baya Kwa maadili yetu, na inafaa ukemewe Siku hizi watu wengi wapo wanahusisha ushoga na jambo lolote...
11 Reactions
33 Replies
2K Views
Kesho ni siku muhimu sana kwa nchi yetu! Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2025/26 inasomwa bungeni, na kila mmoja anasubiri kwa hamu kujua nini kimejumuishwa. Hii inafuatia kauli ya...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Mpo Salama! 1. Waalimu kulipwa mishahara Duni Unapopeleka mtoto English Medium au shule yoyote Jambo la Kwanza Kabisa lazima uulize mishahara ya waalimu. Wanalipwaje? Mshahara wa Mwalimu ni...
14 Reactions
59 Replies
4K Views
Kwa mzazi ambaye kichwa kina chaji hawezi ruhusu huu uhuni, hii inawezekana kwa wazazi wapumbavu pekee, ambao kiwango cha kuwaza ni zero. Mtoto kasoma miaka 7 sasa kamaliza shule, huyu hapumziki...
86 Reactions
240 Replies
16K Views
Wewe jitoe ufahamu na kuimba sifa utaona kasi kubwa ya ukuaji wa uchumi wako. Vyombo vyote vya dola vitakushabikia nawe utakula mema ya nchi.
1 Reactions
21 Replies
868 Views
Habari za muda huu wanajamii forum! Mimi ni form four leaver 2024 napenda kusomea engineering atah selection nmepangiwa PCM ila sijui Kama mbele itakuwa na maslahi MAKUBWA🤔🤔 Ila nafikuria...
1 Reactions
16 Replies
820 Views
Kupitia taarifa ya habari STAR TV naona habari huko Tabora kuna mwanagunzi wa shule ya waschana Tabora akiwa amejifungulia chooni na mtoto kufariki. RC amefika hapo na nimemsikia anasema eti...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Nilidhani Msemaji wako (wa Serikali) Gerson Msigwa angekuwa busy kutueleza Watanzania kwanini EU wamezuia Ndege zako Unazozifaragua nazo kila Siku za ATCL kutua nchi zote za Ulaya kutokana na...
1 Reactions
1 Replies
354 Views
Ulivyo wewe sivyo alivyo mwingine hivyo mtihani wa kwanza wa kupambana nao ni jinsi ya kuishi na watu bila wao kukuharibia siku yako. Huu ni mtihani kwako kwa sababu wewe ndio unatakiwa ujifunze...
4 Reactions
6 Replies
484 Views
Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa yuko sahihi kabisa kwamba Vijana wetu hawana umahiri wa kuitumia mitandao ya kijamii kisayansi na kuifanya kuwa vyanzo vyao vya mapato Badala yake Vijana wetu...
1 Reactions
15 Replies
476 Views
Nipo hapa Dodoma ni mwaka wa 18 mpaka hivi sasa, cha kushangaza katika miji mingi wanapima viwanja lakini wanasahau kuweka viwanja vya michezo pamoja na vya kucheza watoto! Inatakiwa hili...
8 Reactions
41 Replies
2K Views
Tafadhali husika na iyo mada leo nimeenda kumtembelea ndugu yangu katika maongezi alinambia wao chooni kwao yeye na mumewe hawavai viatu kabla sijamshauri nakuja kwenu munipe na mm ushauri je hili...
5 Reactions
84 Replies
2K Views
Habari wajameni, Nimekuwa nikijiuliza swali hili wala sipati jibu : kwa kawaida anapotokea shekhe katoa msimamo wake binafsi katika maswala ya kijamii bila hata ya kunukuu kwenye vitabu vya dini...
5 Reactions
33 Replies
1K Views
Comfort zone is toxic☣️ Comfort zone is a trap🪤
0 Reactions
1 Replies
207 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…