Serikali ni vema kuliangalia hili kwa kina na kuchukua hatua za haraka. Mfano kwasasa katika mikusanyiko mingi ya wasanii lazima ukute shoga maarufu yumo na bahati mbaya sana anapewa coverage kubwa kumuonyesha kuwa alikuwepo
Na ukiangalia unakuta baadhi ya wasanii maarufu wanaona fahari kupiga picha na shoga na kuzisambaza kwenye mitandao.
Sio hivyo tu, bali kwasasa hao mashoga nao wameshajijengea confidence kubwa na wanaonekana kujikubali sana jinsi walivyo.
Kuna kijana mmoja ni shoga na kila event ya Diamond yupo na hata safari ya Nigeria kwenye harusi ya Jux alikuwepo huko. Pia kuna yule mmoja mwembamba mrefu naye kila event za wasanii mashuhuri yupo na huvaa vivazi vya kike.
Hii haipo sawa hata kidogo . Watoto na vijana wengi sasahivi wanatumia mitandao hivyo wanapoona vijana wanavyojiweke katika tabia za kike itawaharibu.
Niombe tu Serikali itumie namna ya kuepusha hili. Serikali isiogope presha za wanaharakati wa ndani na nje wanaotetea ushoga.