Miaka ya hivi karibuni nimeshuhudia malori mengi ya ndani na kutoka nje ya nchi yakiwa yamebeba makaa ya mawe kutoka Ruvuma kwenda sehemu mbalimbali.
Matumizi hasa ya haya makaa ya mawe ni yapi...
MHE MCHENGERWA AWATAKA MA RC, DC KUONGOZA JOGGING KWENYE MAENEO YAO
Na John Mapepele
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya nchini...
Wafanyabiashara ambao wana macho yao au wenye miwani ya macho unaweza kupata ukweli.
Ila hawa wa kuvaa miwani utazani wana turekodi sisi wakati tuna warekodi basi muwe mnapunguza kuwasikiliza.
Mimi mdau wa jamii forum, ninakero unayohusu idara ya maji katika wilaya ya Mafia kisiwa cha mafia mkoa wa pwan, maji wanayotumia wakaazi wa mafia si salama kwa afya za wakaazi kutokana kuwa na...
Elon musk, Mbwana Samantha, Bakhresa, etc hawatafuti utajiri bali wanafanya kusudi liwapalo furaha ndipo utajiri uwafuata.
Utajiri ni matokeo ya nguvu ya upendo wa kufanya kile moyo wako una...
Sitaki kuamini kwamba mataa ya kuongozea waenda kwa mguu na magari pale Kijitonyama siku hizi hayafanyi kazi!
Yaani ni kero kubwa sana kwa sababu unakuta zile taa za waenda kwa mguu unakuta ile...
Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa baadhi ya madereva kusimama kwa muda katika maeneo ya Mlimani City na barabara ya Survey, wakidai kufuatiliwa, kusumbuliwa, na...
NYOTA YAKO LEO JUMAMOS JUNI 14/2025:
UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILEKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI...
Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa amesema mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025 utafadhiliwa kwa fedha za ndani, amesema hayo leo...
Kwa mtazamo wa kibiblia, Muisraeli ni mtu ambaye ni mzao wa Yakobo (ambaye Mungu alimpa jina jipya "Israeli" – Mwanzo 32:28). Hivyo basi:
Muisraeli ni mtu kutoka kabila 12 za Israeli, ambazo ni...
Ongezeko la unywaji limekuwa kubwa.
Zamani ulikuwa ukikutana nae anayumba bara barani ni mzee mlevi ila siku hizi ni vijana wabichi.
Wadada nao wamekuwa walevi kupindukia tena wake za watu...
Ninatamani sana nikimaliza degree nijiunge na jeshi.
Sasa kitu ambacho huwa ninawaza mara kwa mara ni kuwa jeshini hakuna uhuru pia kuna kupelekeshana sana .
Sasa mbali na hii, je ukijiunga na...
Ilikuwa usiku mmoja wa wikiendi. Nilikuwa nimekaa sebuleni, kompyuta mpakato pangoni, nikiangalia documentary moja ya YouTube iliyokuwa inazungumzia mustakabali wa ustaarabu wa dunia. Sauti ya...
Na: Rorschach
Je, unaweza kufikiria bara zima lenye historia kubwa, lakini historia hiyo haiko katika vitabu?
Je, unaweza kufikiria enzi nzima ya kifalme, mapambano ya kifalsafa, na maisha ya...
Mwalimu wangu profesa mmoja akiwa anatoa mhadhara alisema yeye anazidiwa mshahara na mbunge pekee tofauti na hapo hakuna kada nyingine hapa Tanzania yenye mishahara minono.
Mwisho...
Hivi majuzi mlinzi wa John HECHE aliachilia ngumi mchongoko (ngumi jiwe, ngumi kitofa) ili kumdhibiti chawa wa chama fulani cha siasa aliyekuwa akishiriki kuleta vurugu katika mkutano wa chadema...
Halafu Kuna watu utasikia mama anaupiga mwingi. CCM badilikeni sisi sio wajinga wa Enzi za nyerere, uongo naona umekuwa sehemu ya maisha yenu. Sasa kwenye 1.5M nyongeza ya asilimia 23 ndoiwe...
Habari ,
Watumishi ajira mpya ya Mwaka 2024 wamelipwa hela zao za kujikimu flat rate nchi nzima lakini Halmashauri ya Wilaya ya Ngara inawalazimisha Watumishi hao kusaini siku 5 tu na pia chini...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali imeridhishwa na utekelezaji wa ujenzi mradi wa bwawa la Umwagiliaji Membe lililopo wilayani Chamwino mkoani Dodoma.
Kamati hiyo imesema, ujenzi wa...